Hivi rais kikwete anawaza nini kipindi kama hiki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi rais kikwete anawaza nini kipindi kama hiki?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzambia, Feb 17, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kuwa hivi mheshimiwa mkwere huwa anawaza nini kipindi cha matatizo kama hiki?

  Naona amekaa kimya sana kwenye mambo magumu kama yafuatayo:
  1. Maiti za vichanga kumi ye yuko kimya
  2. Mgao mzito wa umeme ye hajatoa tamko
  3. Pinda kulidanganya bunge ye yupo kimya
  4.makinda kuwa mbabe bungeni bila hata kufuata sheria ye kimya tu.
  5.ccm kuchakachua kanuni za bunge ili kambi rasmi ya upinzani isiwepo ye kimya tu
  6.mambo ya mabomu kulipuka gongolamboto ye atakaa kimya tena
  7.mfumuko mkubwa wa bei ya vitu ye kimya
  8.
  9.
  10.
  Hivi hizo ishu jamani siyo bomu kwa national security kweli? Na mheshimiwa anawaza mambo gani muhimu sasa kulinusuru taifa kwa majanga mbalimbali au tumpelekee series ya 24hours aangalie aone wenzake wanavyokuwa busy kny issue nzito kama hizo
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,605
  Likes Received: 4,708
  Trophy Points: 280
  Anawaza kucheza kiduku
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wewe tuambie kwanza unawaza nini kipindi kama hiki? au tuwaambie Rais wako Slaa anawaza nini? halafu ndio ufikirie kikwete anawaza nini
   
 4. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  How can a blank-mind think?
   
 5. M

  MJM JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hawa ndiyo wanaoifanya nchi na rais awe hivyo. Hivi kweli 1, 2, 6 na 7 hata ukiacha hayo mengine hayahitaji uwajibikaji na faraja za Rais kwa wananchi wake????? Mbona hutoa matamko kadhaa na hata kushupalia vitu vidogo kabisa ambavyo vinaweza kumalizwa hata na mtendaji wa kata?

  Amechemsha acheni wananchi waseme msiwafumbe midomo siyo muda wa kampeni sasa na malumbano wanatakiwa kuthibitisha uwezo wao wa kuwahudumia wananchi. Period
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Na Mikasi!
   
 7. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkwere ni mkwere tu,,,,,,,,,yani mie namshangaa!!!:roll:
   
 8. m

  mubi JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Anawaza lini Dowans watalipwa Pesa ili mwanae naye agombee Ubunge kama Makamba alivyofanya kwa mwanae, technical know who, utawala wa Kisultani. Tanzania amkeni kumekucha, wenzenu wamejikwamua huko Algeria, Misri na sasa Libya..... Chagueni wenyewe kuendelea kukaa kwenye giza mlale fofo siku zote.
   
 9. T

  Taso JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,652
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  nadhani tatizo ni press office ya Ikulu. Ilibidi kila siku saa nne kuwe na at least half hour ya Ikulu press briefing, kujua rais anafanya nini leo, anafikiria nini leo kuhusu tukio la leo, na mpango mzima wa Ikulu kwa ujumla.

  Lakini nadhani press office walishashtuka, wangeanzisha mpango huo halafu spokesperson akiulizwa Rais yuko wapi mchana huu, atashindwa kujibu "yuko guest Msoga na Mkuu wa Wilaya," ni haiwezekani.
   
 10. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Anawaza kuwa yeye ni rais wa Tanzania na hilo tu lamtosha kwani akiona watu wanajipendekeza pendekeza kwake anajisikia kuwa yeye ni rais basi! Unataka afikiri nini zaidi wakati hana la kufikiri?
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wewe boga unazungumzia nini? shut up!
   
 12. CPU

  CPU JF Gold Member

  #12
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna watu bila haya, aibu, na hata sijui wanafikiria kwa kutumia MA**TA***KO utawasikia siku moja wanasema "MABOMU YA GONGO LA MBOTO yamesababishwa na mwanajeshi mwenye kadi ya CHADEMA"
   
 13. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mmmm,hujui anawaza nn,hapo anapanga safari ya A-town akajipumzishe Ngrudoto kule mafichoni msijue yuko wapi!Lol Mkwere huyooooooooooooooooooooooo.:clap2:
   
 14. regam

  regam JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Au manyoni(wilayani) kwenye ziara ya kiofisi
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Thanks...kumbe wewe unamuwaza Rais Slaa
   
 16. m

  mzambia JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  anawaza kuandaa sherehe za mabalozi nni?
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 19. L

  LAT JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  yaani wanasikia raha ile mbaya ... huwezi jisahau namna hii.....au wanavutaga na bangi saa nyingine
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
Loading...