Mkuu wa mkoa

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
Wadau,
NAOMBA NISAIDIWE ILI NIJUE, JE MKOA UNAWEZA KUKAA BILA MKUU WA MKOA KWA KIPINDI GANI HASA ( labda kwa mujibu wa katiba) ??,, NAPATA TAABU KUJUA NI VIPI MAENDELEO KUFIKIWA HARAKA KWA WANANCHI IKIWA RC ANAENDESHA MIKOA 2 AT ONCE TENA KWA ZAIDI YA ROBO MWAKA.

1. Je, hakuna wananchi wenye kumudu nafasi hizo?
2. Je, ni hatua (labda) za kupunguza budget za hao wakubwa wa mikoa?
 
RC ana mchango gani kwenye maendeleo ya mwananchi?hiki cheo kifutwe tu.
 
Tanzania hata wasipokuwepo wakuu wa mikoa/wilaya mambo ni yale yale. Hawana umuhimu.
 
Wangerudisha majimbo, na kila jimbo liwe na gavana wake. Kila gavana awe huru kuleta maendeleo kwenye jimbo lake bila kuingiliwa na raisi. Kila gavana awe ni mkazi wa hilo jimbo na achaguliwe na wananchi wa hilo jimbo na asiwe na cheo chochote kingine zaidi ya kuwa gavana tu!
Hapo maendeleo yatakuja.
 
Wadau,
NAOMBA NISAIDIWE ILI NIJUE, JE MKOA UNAWEZA KUKAA BILA MKUU WA MKOA KWA KIPINDI GANI HASA ( labda kwa mujibu wa katiba) ??,, NAPATA TAABU KUJUA NI VIPI MAENDELEO KUFIKIWA HARAKA KWA WANANCHI IKIWA RC ANAENDESHA MIKOA 2 AT ONCE TENA KWA ZAIDI YA ROBO MWAKA.

Labda ungetoa mfano wa mikoa gani hiyo miwili inayoongozwa na RC mmoja.
 
Back
Top Bottom