Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanafunzi wa mwaka wa tatu wa kozi ya Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii kutoka Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima nchini (TEWW) ya jijini Dar es Salaam, jana waliandamana hadi katika Ofisi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je kweli yametoka?
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wakuu kuna mambo ambayo yanafanyika kwenye njia kuu ziendazo mikoani ambayo hayatakiwi kufumbiwa macho. Abiria wa mabasi wanapoingia kwenye vituo vya kula chakula wengi wao wanachukua vyakula...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
wana forum naendelea na utafiti wa kutaka kujua kwa nini bara la africa haliendelei, nikachek history nikakutana na ishu kua wazungu au european countries walikua na sheria ambazo zilikua zinazuia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tumekwisha pata mkurugenzi mwingine TBC (The recycled Mshana) anayembadili Tido kwenye chombo hicho cha habari za elektroniki (TV na Redio) Cha kushangaza ni kwa upande wa magazeti ya Umma...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Akihojiwa na ch.10 jana usiku dr.slaa aliulizwa na kujibu kwa ufasaha mambo mengi sana mpaka mwongozaji(makwaiya) akamsifia sana na kumuuliza iwapo yeye(dr.slaa) anafanya sana utafiti kwa jinsi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Kipindi cha Jahazi hivi karibuni tangu uchaguzi uanze kimekuwa kisiasa sana maana hakuna maada, hakuna wadau kupiga simu, hawana maada za maana kama radio zingine kama Radio One...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
Jk ateua katibu mkuu na manaibu huku akimwaga rasmi Tido Mhando kwa kumchagua mkurugenzi mwingine.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
huu mfuko wa NSSF kwa kweli umegeuka na kuwa kero sana,system zao ni mbovu na utendaji wao ni mbovu kwa ujumla..unakwenda kujisajili kwa ajili ya kukatwa makato ya mafao ya kiinua mgongo wakati wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ughali wa maisha unaochangiwa na upandaji wa bei ya mafuta umeepelekea wananchi wa kenya na uganda kuandamana kushinikiza kupunguzwa kwa bei ya mafuta na vyakula. serikali ya kenya imekubali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo gazeti la MwanaHalisi ni moto wa kuotea mbali!!!! Duh.. Mkapa....!
0 Reactions
53 Replies
12K Views
MKAZI wa kitongoji cha Sumbawanga ya Asili katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani hapa Moses Kayange (37) amefariki dunia baada ya kunywa paketi 25 za pombe kali aina ya 'Double punch' baada ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
WATUMISHI 181 wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), wameajiriwa kinyume cha taratibu za ajira. Ajira hizo zisizofuata taratibu ndani ya shirika hilo, zimebaInika wakati wa ukaguzi wa Mdhibiti...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nimefatilia kwa umakini zaidi,kwamba vijana walitoa mapendekezo yao ya hela ya special faculty mbele ya waziri mkuu ambayo yalikuwa ni laki tatu na nusu,baada ya hapo waziri mkuu akawambia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
na Mwandishi wetu MFANYABIASHARA anayedaiwa kuwa ni kinara wa biashara ya dawa za kulevya nchini, amenaswa na shehena ya dawa za kulevya aina ya Heroine na Cocaine. Mfanyabiashara huyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hello Member! Please find the LOLIONDO TECHNICAL REPORT ATTACHED TO THIS
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mjadala kuhusu muungano unaendelea bbc,kuna wachangiaji kadhaa akiwemo jiongozi wa G 15
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je ni nini athari za kuwa mwanachama wa freemason?
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Rachel Balama, Dar na Mwajuma Juma, Zanzibar RAIS Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 3,060 katika kuadhimisha miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Aprili 26, mwaka huu, lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By CARL ZIMMER The Eastern Arc Mountains of Tanzania may not be terribly tall — only half the height of their famous neighbor, Mount Kilimanjaro. But to scientists who tally the planet’s...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…