Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

katika hali isiyo ya kawaida baada ya show ya chid benz kumetokea taharuki baada ya watu waliokuwa katikati ya uwanja kukimbia huku wakipiga kelele kitu kilichofanya watu wote kukimbia.kutokana na...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
tetesi eti, Dr sasa jimbo la igunga ni lake kwa hivyo kale ka mkakati ka shibuda kutoa nafasi katakuwa basi japo pale igunga Dr atafanya kazi sana kuwashawishi wale wapiga kura. Wadau hivi kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu,wana Jf,kwa masikitiko makubwa nachelea kuituma hii post,kwa machungu!! Hii leo nchi iko kwenye aibu kubwa sana ya mgao wa umeme,usiyokuwa na kichwa wala miguu,badala yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jumapili siku ya tarehe 10 mwezi huu kituo kimoja maarufu cha redio kilirusha kipindi kikimuhoji dada mmoja muathrika wa ukimwi aliyeombwa damu na mama mmoja ambaye anafahamiana nae. Lakini kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kulingana na maono na fikra sahihi za waungwana ndani ya jf,zenye mwangaza imara wa mapambazuko Tanzania, nashauri kwa mtu yeyote mwenye ndoto ya kuwaongoza watz kwa ngazi yoyote ile ktk ardhi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
UONGOZI WA SHULE YA AZIMIO DODOMA AMBAYO IMEJIPATIA UMAARUFU KWA KUCHAPA VIBOKO WANAFUNZI, IMEWAFUKUZA SHULE WANAFUNZI WAFUATAO KWA KUWAKAMATA NA SIMU CHOONI WAKATI WA USIKU,na uongozi wa shule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nimekumbuka ule mchezo wa Jackpot Bingo uliokuwa unaendeshwa na ITV. Mchezo ule ulimnufaisha saana bwana Mengi kutokana na ugeni wake na uelewa wa wachezaji! Katika hali ya kawaida, hivi nani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
20. A snail can sleep for three years. 21. All polar bears are left handed. 22. American Airlines saved $40,000 in 1987 by eliminating one olive from each salad served in...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Nilikuwa kwenye harusi ya Jaquline Mjengwa, binti wa Kanali Mjengwa aliyewahi kuwa Mbunge wa Rujewa, Kanali Joel Ramadhan Mjegwa. Kituko nilichokiona kwenye harusi ile ambayo ilikuwa ikiendeshwa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu, natumai wazima wa afya! Mi ni mkazi wa jimbo la ubungo, kuna tatizo limejitokeza, hvyo nahitaji kuwasiliana mhe. mbunge wangu, nilikuwa naomba msaada wa namba ya simu ya mhe.John...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Oil Firm Floors TRA in Sh15.6 Billion Tax Row Bernard James July 2011 Dar es Salaam — The Tanzania Revenue Authority (TRA) has lost a bid to have a Norwegian oil...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Wapinzani waibua ulaji wa mamilioni kwa posho Nishati na Madini Send to a friend Friday, 15 July 2011 20:28 0diggsdigg Fidelis Butahe, Hussein Issa WAKATI Kambi rasmi ya Upinzani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wana wa jamii forums naomba kupata mchango wenu juu ya hili. Mara nyingi sana nimekuwa nikifuatilia utekelezaji unaofanywa na serikali kufuatia ripoti za tafiti mbalimbali kuhusu ufumbuzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inawezakana unatamani kuwa mwanachama wa CHADEMA lakini hujui mahala zilipo ofc. Kuna wana-JF wengi ambao wanatoka sehemu mbalimbali Tanzania bara na visiwani zilipo ofc za Chadema.Tafadhali toa...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Jamani wana wa jamii forums naomba kupata mchango wenu juu ya hili. Mara nyingi sana nimekuwa nikifuatilia utekelezaji unaofanywa na serikali kufuatia ripoti za tafiti mbalimbali kuhusu ufumbuzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani nimeenda kwa rafiki yangu akanieleeza haya mambo nilichukua muda kukubali nikasema Mungu hivi Tanzania umeamua kuitenga kabis ajamani......kampuni ambayo aina hata miaka mitatu inaleta...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
.....you dont have free will,,,,,you have the appeallants of free will,,,,you have free will of which toothpaste you use or which beverage to order, or which lunch but humanity doesn't mature...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa nature ya watu wa hapa tarime,hatukupaswa kuongozwa na magamba,tamaa za watu wachache zimetupotezea jimbo letu kwa miaka mi5,inaniuma sana hali hii hasa ninapoliona hili gamba walilolichagua...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Pimp my rice paddy 19 Jul 2007 Each year, farmers in the town of Inakadate in Aomori prefecture create works of crop art by growing a little purple and yellow-leafed...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale wa kemondo... mwasibayo muta waitu,wa Longido... subahi,wa Nyungu ya mawe... Moniri,wa kama ni vita... Mbuyole,wa mwisho wa reli... mlakomeye,walina asali... Mwandila,wanyalukoro...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom