Jimbo la TARIME linaniuma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimbo la TARIME linaniuma!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Magnificent, Jul 12, 2011.

 1. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kwa nature ya watu wa hapa tarime,hatukupaswa kuongozwa na magamba,tamaa za watu wachache zimetupotezea jimbo letu kwa miaka mi5,inaniuma sana hali hii hasa ninapoliona hili gamba walilolichagua linafanya madudu,rest in peace my brother CHACHA WANGWE,tutakukumbuka milele...Tarime is missing ur presence!
   
 2. z

  zamlock JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  polen sana ingawa nami ni wa uko uko lakin akuna jinsi huyu mbunge wenu yuko hapa jogoo mbenzi ndipo anapoishi nyie mnateseka uko poleni sana
   
 3. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kweli mura we ni wa huku huku hata username inaonesha nyamwabho!
   
 4. M

  Milano Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poleni sana sana gamba ndivio lilivio japo ngumu kumeza itabidi mvumilif 5
   
 5. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tarime kweli imekula kwenu, sikuamini nilipomsikiliza mbunge wenu kwa mara ya kwanza anakera na inaonekana ni mbumbumbu. Nililaani sana siku hiyo na sikuelewa ilikuwaje jamaa huyo alishinda. Nahisi mlikuwa na mvutano wa mambo ya koo ndo yaliyowaponza.
   
 6. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Sio mambo ya koo,charles nyanguru mwera,former tarime mp aliyehamia ccmB baada ya kushindwa kwnye kura za maoni za CDM,then kura za upinzani zikagawanyika...Za magamba zikabaki constant!
   
 7. J

  Justine Kilasara Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mshinekizeni ajiuzulu, Mbona R.A amekubali kuachia ngazi pamoja na utajiri wote, Wananchi mkiamua atatoka tu! mfano wa Tunisia na Misri
   
 8. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  nyangwine sounds like penguin
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mlijiandikisha lkn? maana wengi wetu tumekuwa tunalalamika lkn hatujiandikishi wala kwenda kupiga kura! next time hakikisha unajiandikisha na kwenda kupiga kura
   
 10. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Mleta thread naomba unieleze maana ya ccmB, poleni sana
   
 11. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Sitaki kkukuponda kisa wewe ni Jonior... kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha... ccmB ni CUF
   
 12. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  ccmB=CUF,hiyo mbona hata mtoto wa darasa la tatu 'c' anajua?
   
 13. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  WanaTarime mna bahati mbaya sana. Yule Mkuu wa Wilaya aliyeshindwa simfahamu vizuri. Lkn yule aliyetaka kugombea toka UDOM hafai kabisa, bahati nzuri alishindwa. Jamaa huyu hafanani kabisa na wakurya: hana msimamo, ni mwongo na nimwoga sana. Asingewatetea wanaTarime kwa lolote lile. Inaelekea hakuna wagombea wazuri toka ndani ya CCM. Tarime inafaa itawaliwe na wanaCDM
   
 14. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mlikosea sana kutomweka mwita makabwe mwalim wangu wa Chem na maths
   
 15. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Labda aombee huyu jamaa wa saiv afe kwanza kuwe na uchaguz mdogo
   
 16. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Mwita ni Jembe hakuna mfano
   
 17. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pole sana BUGUMYA! Sasa ilikuwaje mkachagua Magamba???????? Nawasikitikia hiyo miaka 5 mpaka iishe! Sipati Picha kwanza mbunge wenu anabana Mitaa ya Sinza Na Bamaga anajinafasi tu! Sijui kwanini hamkumchagua MWITA ????????????????......KWA KWELI MURA tutamkumbuka CHACHA WANGWE! Mungu ailaze Roho yake pema. AMINA!
   
 18. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Sasa ulitaka uniponde kwa lipi baya nililolifanya? hebu kuwa mwungwana.
   
 19. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mwita alikuwa Rais pale udsm. Lilikuwa ni kosa kubwa sana kutomchagua Mwita Mwikwabe wa Marwa.
   
 20. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  MIAKA MINNE ILIOBAKI SIO MINGI...! ILA KWELI KUPOTEZA TAAARIME NI PIGO KWA CDM,! ila litarejea tu..!
   
Loading...