Natamani maandamano ya CCM huko mbeya,yapigwe mawe!!

papaa masikini

Senior Member
Mar 5, 2011
176
69
Habari zenu ndugu zangu,wana Jf,kwa masikitiko makubwa nachelea kuituma hii post,kwa machungu!!
Hii leo nchi iko kwenye aibu kubwa sana ya mgao wa umeme,usiyokuwa na kichwa wala miguu,badala yake leo hii tunaambiwa kuwa wanamagamba,ambao ndo "SERIKALI YA CCM"wapo kwenye maandamano makubwa waliyoyaandaa huko mbeya,kwa lengo tu la kukitangaza chama na dhana yao ya Kujivua Gamba na kuwanadi viongozi wao wanaotaka kuiwania nchi 2015,akiwemo Sitta,Mwakyembe,Kilango nk...na siyo kuwazia suala la umeme linaloitikisa nchi kwa sasa!!
Binafsi nayalaani haya maandamano,yapigwe mawe!!
 
Tabia yako na jinalako yafanana: wenzio wakiandamana wewe uwapige mawe, na wakikupiga mawe je?!. You need to apply your upstairs in posting.
Habari zenu ndugu zangu,wana Jf,kwa masikitiko makubwa nachelea kuituma hii post,kwa machungu!!Hii leo nchi iko kwenye aibu kubwa sana ya mgao wa umeme,usiyokuwa na kichwa wala miguu,badala yake leo hii tunaambiwa kuwa wanamagamba,ambao ndo "SERIKALI YA CCM"wapo kwenye maandamano makubwa waliyoyaandaa huko mbeya,kwa lengo tu la kukitangaza chama na dhana yao ya Kujivua Gamba na kuwanadi viongozi wao wanaotaka kuiwania nchi 2015,akiwemo Sitta,Mwakyembe,Kilango nk...na siyo kuwazia suala la umeme linaloitikisa nchi kwa sasa!!Binafsi nayalaani haya maandamano,yapigwe mawe!!
 
Back
Top Bottom