Wakuu, natumai wazima wa afya! Mi ni mkazi wa jimbo la ubungo, kuna tatizo limejitokeza, hvyo nahitaji kuwasiliana mhe. mbunge wangu, nilikuwa naomba msaada wa namba ya simu ya mhe.John mnyika.Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.