Kwa nini serikali haitumii maoni na ushauri wa kitaalamu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini serikali haitumii maoni na ushauri wa kitaalamu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Prince MakBenny, Jul 16, 2011.

 1. P

  Prince MakBenny Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana wa jamii forums naomba kupata mchango wenu juu ya hili. Mara nyingi sana nimekuwa nikifuatilia utekelezaji unaofanywa na serikali kufuatia ripoti za tafiti mbalimbali kuhusu ufumbuzi wa matatizo yanayokwaza maendeleo ya taifa katika nyanja tofauti. Lakini kwa hakika kinachoendelea ni kwa serikali kufumbia macho na kuziba kabisa masikio hasa pale panapokuwa na mapendekezo yenye masilahi kwa taifa. Ndo kusema viongozi hawalitakii mema taifa au labda kuna jinsi wanavyofaidika na matatizo yanayolikabili taifa?
   
Loading...