Wafukuzwa shule kwa kukamatwa na simu

lubangojoshua

Member
Mar 9, 2011
11
0
UONGOZI WA SHULE YA AZIMIO DODOMA AMBAYO IMEJIPATIA UMAARUFU KWA KUCHAPA VIBOKO WANAFUNZI,
IMEWAFUKUZA SHULE WANAFUNZI WAFUATAO KWA KUWAKAMATA NA SIMU CHOONI WAKATI WA USIKU,na uongozi wa shule ulizivunja simu hizzo.MBELE YA MKUTANO WA WAZAZI.
lea amosi
zawadi mkola
veronika john
 
huu ukoloni utaisha lini jamani??? watu wanaenda mbele wengine tunarudi nyuma/? duh wtf?? ukolono ukoloni tuuuuuu
hiki kizazi cha hivi vizee kitaisha lini
 
Back
Top Bottom