Pendekezo: Ili uwe kiongozi makini wa Tz lazima upitie JF.

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,243
Kulingana na maono na fikra sahihi za waungwana ndani ya jf,zenye mwangaza imara wa mapambazuko Tanzania, nashauri kwa mtu yeyote mwenye ndoto ya kuwaongoza watz kwa ngazi yoyote ile ktk ardhi ya tz wasifu wa kwanza uwe ni 1.Awe mwachama wa jf, 2.Awe na umri kuanzia miaka 2 ndani ya JF, 3.Sehemu ya kwanza ya kutangazia nia/kusudio iwe ni JF.Nadhani hii itawajenga viongozi tutakao wapata kupitia mfumo huu kutokana na kuwa JF ndipo mahali pekee pa watu (tz) wenye kupingana kwa hoja na mijadala mizito.
 
mimi nadhani si tu awe mwanachama lakini atuonyeshe kwa dhati kabisa kuwa ana uchungu na nchi hii ambayo wenye meno wameitafuna na inaelekea kuzikwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom