Magari ya serikali -STK, SU, DFP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari ya serikali -STK, SU, DFP

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mageuzi, Oct 17, 2011.

 1. Mageuzi

  Mageuzi Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miaka ya hivi karibuni Magari ya serikali yemezidi kuwa ya kifahari sana,na Gharama za kuyatunza ni JUU mno. Mengi ya hayo magari yapo JIJINI Dar-es-salaam.yanatumia mafuta mengi katika foleni za Dar,

  Ninapata hasira ninapokuta Dereva amewasha Full AC,gari likiwa limepaki haliendi popote.nikizingatia kuwa Kodi yangu na Msaada unaotolewa na wahisani kwa lengo la kumsaidia Mtanzania. Angalia jinsi Pesa zetu zinavyofujwa na wachache.

  Watanzania Tuamke ,tulazimishe viongozi Wasinunue Landcruisers V8,Na Magari mengine ya kifahari yenye Gharama kuyaendesha.

  Mfano ni Vuguvugu la OCCUPY

  Maandamano duniani kote ya kupinga kile waandamanaji wanakiona kama uroho na usimamizi mbaya wa uchumi duniani yameingia siku ya pili.
  http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2011/10/111015_occupy_protest.shtml
   
 2. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,963
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Yapo baadhi ya mashirika ya umma (kama TBS) ambayo magari yake, ni lazima yote yabaki ofisini baada ya kazi, kuanzia mkurugenzi mkuu, wanakwenda kazini na kurudi nyumbani kwa kuendesha magari yao binafsi. Gharama zao za kuendesha magari ziko chini sana. Serikali na mashirika ya umma ni lazima sasa walazimike kubadilika kuokoa mamilioni ya pesa zinazotumika kulipia mafuta, spea, ot kwa madereva kwa shughuli ambazo siyo za kiserikali.
   
 3. Mageuzi

  Mageuzi Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nampa Pongezi Mkurugenzi wa TBS kwa kuona umuhimu wa kubana matumizi.Taasisi nyingi za Serikali bado hawachukui hatua za kudhibiti matumizi haya.
  kuna magari mazuri na bei ya kuyatunza iko chini kiasi.mfano RAV4, TATA,na hata Suzuki. najua kuna Wakurugenzi wa taasisi ktk JF. Nawaomba mlipe mtazamo jambo hili.
   
 4. JS

  JS JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli TBS inahitaji hongera. Lakini si mpaka hao wakurugenzi waone kuna haja ya ku-cut costs maana wanavyoyatumia hovyo bila mpangilio Mungu anajua na kweli inatia hasara sana. Haileti maana kwaanza kuwa na magari in the first place wana uwezo wa kununua magari yao ya binafsi na wakaendesha wenyewe mpaka ofisini lakini hawaoni hilo ni kujitanua tu......na hiyo bishara ya madereva kulala nayo magari kokote wanakokaa ndo inaudhi zaidi. Maana wanaya-abuse on weekends wanapandisha vimada vyao tabu tupu
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,396
  Trophy Points: 280
  kwa taarifa ma v8 ya serikali yamewekewa tv dvd player pale toyota kwa thamani laki 8 kwenda juu.uone priorities za govt yetu,wakati huko sikonge shule haina dawati hata moja tangu ijengwe mwaka 1976
   
 6. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dr. Magufuli alikuwa na mpango mzuri sana juu ya mataumizi ya magari ya serkali kutumi wakala kama South Africa lakini wamemkatalia
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Hii nchi imeoza!!!
   
 8. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Vp ungekuwa wewe ?
   
 9. S

  Sngs Senior Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwani we ujioni?
   
 10. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Nielimishe kidogo, South Africa wao wanatumia wakala? do u mean Transport Agency ya kusimamia magari ya serikali?.
  Magufuli huwa namkubali sana hila ktk hili linahitaji Sisi WATANZANIA NA WANANCHI tuamke tushikamane kukataa matumizi yasiyo ya Lazima ktk Serikali ya CCM.
  Nashauri MOD waipe mkazo na mashiko hii topic ili Viongozi wastuke na kubadili matumizi haya mabovu.Katika Tanzania ya 50Years ,ukitoka tu nje ya Dar utakuta yafuatayo
  -Shule hazina Madawati
  -Shule hazina Vyoo
  -Zahanati na hospitali hazina Vitanda na madawa
  -Ofisi za kijiji/kata ni za makuti na udongo
  - Vijiji havina Visima virefu vya maji
  hayo ni machache yanayoweza kuonekana bila hata kuambiwa ukiwa mgeni.
  Au na hili tutahitaji msaada wa Watu wa Marekani kutuambia kuwa tusitanue na Ma Landcruiser ili tujenge vyoo mashuleni etc
  kwani juzi tu nimesikia kwa msaada wa Watu wa Marekani tunafunzwa matumizi ya maji
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Hata wanajeshi wameletwa Land Cruisers mpya kabisa.
   
 12. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Na bado mtalalamika sana humu jf na kwenye media,maana sisi wa Tz hovyo kabisa, ni kulalamika tu,No actions.huwa nashikwa na uchungu sana,hivi hii nchi haina hata mjeda mmoja mwenye cheo huko juu na mwenye roho ya kizalendo akaongoza kundi watu wakaingia msituni?
   
 13. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  imeoza wewe ukiwa wapi? Kwa nini usiiweke kwenye fridge ili isioze? Au kuikausha juani au kwenye moto?
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Serikali yetu ilivyochafu hawawezi kuisifu TBS hata kidogo hili tutaliona sisi tunaoumia kwa kodi zetu
   
 15. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mkuuu njoo uanzishe basi ,mimi ntakuwa nyuma yako.ila naona location yako iko AROUND THE WORLD. sasa sijui lini utakuwa TZ ili ulianzishe
   
 16. B

  BOKO HAARAM Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mkurugenzi wa tbs mnamsifia nini..? Wakati wanafunzi wazalendo wanaomba nafasi za kufanya mafunzo kwa vitendo wazungushwa na watu wa chini wake huku yeye akiwa kimyaaa ofisin na barua za maombi zina2mwa kwake wakat huo huo wanafunzi wa nch za nje wanakuja wamechelewa na wanapata nafasi..?sasa mnamsifia nn wakat si mzalendo i think huyu jamaa n mganda.
   
 17. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwa viongozi wetu kutimiza hili, roho ya uzalendo inahitajika zaidi kuliko ubinafsi.
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Soma kichwa cha habari ndipo uchangie.
   
 19. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Au aisindike kabisa ili idumu muda mrefu.
   
 20. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kaisha soma
   
Loading...