Umeme umekatika nchi nzima?

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Majira ya saa sita kasoro usiku maeneo ya hapa k'ndon mkwajun umeme ulikatika,m2 wa mwananyamala akanambia kwake pia umekatika,pia kuna m2 huko moro kasema umekatika,je hapo ulipo wewe umeme upo kwa usiku huu?
 
Uwoooo!! umerudi tayari!
 
Mabibo jeshini ulirudi night kali sikumbuki muda sahihi
 
huku kwe2 umekatika mara 3 usiku huu kaazi kweli kweli....
 
Back
Top Bottom