Aibu ya umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu ya umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpita Njia, Oct 19, 2011.

 1. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  nipo hapa ngurdoto tangu jana jioni kwa mishemishe zangu. nimeshangazwa sana jinsi huduma zilivyoporomoka. lakini lililoniacha hoi zaidi ni aibu alopata ngeleja na naibu wake malima. nimewaona hapa nikaambiwa wapo kwenye mkutano w. kimataifa wa masuala ya madini na nishati. lkn tangu asubuhi umeme umekuwa ukiwaka kama indiketa ya gari. zima waka zima waka yaani kawa kawa. inalekea hakuna hata standby generator na kama lipo basi halifanyi kazi. kama saa kumi na moja unusu ukakatika, mpaka saa moja na nusu t
  https://www.jamiiforums.com
   
Loading...