CCM (Chama Cha mapinduzi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM (Chama Cha mapinduzi)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Oct 19, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wakuu hivi kirefu cha ccm kina maanisha nini kwa upande wa bara?kwani kwa upande wa Zanzibar kitakuwa kina maana kidogo kutokana na kweli yalifanyika Mapinduzi, je kwa upande wa bara walifanya mapinduzi gani? Kwa anae jua zaidi anijuze
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  chama cha mafisadi
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ni mapinduzi kutoka uelevu na kuwa mbumbu kwa wadanganyika..
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Sitaki kukisemea kwakuwa siyo chama changu!
   
 5. k

  kingtuma Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwatoa "wadanganyika" ktk nchi ya ujamaa na kujitegemea hadi kwenye unyama na kujimegea
   
Loading...