Eti mwisho wa ulimwengu ni tarehe 21 Oktoba 2011 ??

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,783
819
Tunasoma Mwanzo 6:13 hivi,
Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho wa kila kiumbe umefika mbele zangu; kwa sababu wameijaza dunia maovu, basi nitawaangamiza pamoja na dunia.
 
Tunasoma Mwanzo 6:13 hivi,
Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho wa kila kiumbe umefika mbele zangu; kwa sababu wameijaza dunia maovu, basi nitawaangamiza pamoja na dunia.
'to be one,ask one'....je_nawe ni mmoja wao
 
Ulitakiwa utueleze nani katoa huo unabii??? title na maelezo yako, wala haviendani??? Au ni wewe????!!!!
 
Tunasoma Mwanzo 6:13 hivi,
Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho wa kila kiumbe umefika mbele zangu; kwa sababu wameijaza dunia maovu, basi nitawaangamiza pamoja na dunia.

Mpendwa uwe unajipanga unapoamua kupost kitu, ni vema ungeelezea title yako kwanza. Au umeuliza swali? em jipange upya!
 
.............. jisalimishe, haya mambo madogo madogo ya kitapeli hayata kusumbua !

Tatizo watu wamesahau kabisa kusoma Biblia au wanasoma tu verses that favour them. I expected arguments correlating to that quotation. Well, the matter was brought by Rev. Harold Egbert Camping.
 
ndg, tarehe 21 october ni mwisho wa mitihani ya NECTA form IV 2011
 
Elimu hiyo ya siku ya mwisho anayo mungu peke yake..na kama itakuwa ni biblia wat about other scriptures za dini zingne? Zasemaje? Ooh may b ths is 4 born again people only?
 
Yule mdingi wa family
radio ndo alilianzisha hili jambo!mwanzo ilikuwa 21 may! According to camping
 
Back
Top Bottom