CCM wamechoka!

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
Ccm ni sawa na gari lililochakaa kwa safari ya muda mrefu (miaka 50). Hata wana ccm wenyewe wamechoka sana. Mfano mabalozi wamechoka, hawajiwezi tena kwa lolote hoja au ushawishi hivyo nawashauri wale waliobaki wakimbilie gari la upinzani linaloweza kwenda kwa spidi inayotakiwa na wananchi ili wapate maendeleo ya kisasa.
 
speed bila uzoefu c ni hatari? Wacha kutuhadaa hawa wapinzani hawana uzoefu kama unavyofikiria tuwape muda wajipange kuongoza nchi cyo lelemama na kujaza watu kwenye mikutano cyo ndo kuonyesha uwezo,, ccm ni chama kilicho komaa kina uwezo wa kukabilia na kila hali iwe nje ya chama na hata ndani ya chama chenyewe,, mambo ya ufisadi na matatizo mengine yapo kwa kila chama na hiyo ni vita ya taifa zima c kwa ccm pekee, pia ccm kumejaa waadifu wengi tuu ambao wanauwezo wa kukiongoza kwa miaka hamsini mbele,,,
 
Kuongoza nchi kupi? Kama ni bora uongozi na sio uongozi bora kama wanavyofanya CCM na hususani Kikwete kila mtu anaweza! Tunataka chama makini kinachoweza kuleta uongozi bora!!
 
speed bila uzoefu c ni hatari? Wacha kutuhadaa hawa wapinzani hawana uzoefu kama unavyofikiria tuwape muda wajipange kuongoza nchi cyo lelemama na kujaza watu kwenye mikutano cyo ndo kuonyesha uwezo,, ccm ni chama kilicho komaa kina uwezo wa kukabilia na kila hali iwe nje ya chama na hata ndani ya chama chenyewe,, mambo ya ufisadi na matatizo mengine yapo kwa kila chama na hiyo ni vita ya taifa zima c kwa ccm pekee, pia ccm kumejaa waadifu wengi tuu ambao wanauwezo wa kukiongoza kwa miaka hamsini mbele,,,
Nina wasi wasi na ubongo wako kama haukuwahi kufanyiwa operation ukawekewa wa kondoo. Vinginevyo unaweza ukawa unapalilia viposho vya Nape, maana unavyobwabwaja si bure.
 
Back
Top Bottom