Wizi mpya wa VODACOM !?

samito

JF-Expert Member
May 16, 2011
631
176
Hello pipo,

leo nimepigiwa simu toka number hii +25515600 kwenye simu yangu ya voda afu ni sauti iliyorekodiwa kwenye mashine ikiwa inaongea upesi upesi(sikumbuki) ila mwisho wakasema kukubali bonyeza 1 ..... mimi sikubonyeza baada ya kimya cha sekunde kama tatu wakasema sijakuelewa nikaamua kukata simu.

kuna mtu keshapata simu ya namna hii? je ndo wizi moya huo ukishabonyeza 1 uanze ku2miwa ujumbe kila siku na kukatwa hela? ivi sheria inasemaje? TCRA wanatulindaje mobile users?
 
Serikali ya CCM haina hela! sasa hivyo ndivyo vyanzo vya kukusanya hela pole yetu hata mimi yameshanikuta sijui hili swala nipeleke Takukuru au wapi! hata hiyo Takukuru wote wezi pia.
 
Serikali ya CCM haina hela! sasa hivyo ndivyo vyanzo vya kukusanya hela pole yetu hata mimi yameshanikuta sijui hili swala nipeleke Takukuru au wapi! hata hiyo Takukuru wote wezi pia.

huu ni wizi wa waziwazi tena mchana kweupee, wameamua kunyonga wanyonge!
 
Yawezekana serikal ya CCM imepandisha kodi maana hali ni mbaya kwa matumizi ya simu kwani makato makubwa sana
 
Hello pipo,

leo nimepigiwa simu toka number hii +25515600 kwenye simu yangu ya voda afu ni sauti iliyorekodiwa kwenye mashine ikiwa inaongea upesi upesi(sikumbuki) ila mwisho wakasema kukubali bonyeza 1 ..... mimi sikubonyeza baada ya kimya cha sekunde kama tatu wakasema sijakuelewa nikaamua kukata simu.

kuna mtu keshapata simu ya namna hii? je ndo wizi moya huo ukishabonyeza 1 uanze ku2miwa ujumbe kila siku na kukatwa hela? ivi sheria inasemaje? TCRA wanatulindaje mobile users?

+25515600-Bonyeza moja kukubali Vodacom Mobile radio!!vodacom swaga music radio,you can listen all the music you want ,haahaaa hiyo ni VAS ya voda, ila sijui inakula shilingi ngapi!! ukipiga 15600 you can listen hiyo music(bongofleva,international music,gospel nakadharika), na mambo mengine!
 
haha haa kumbe ndo upuuzi huu, hawa wanachekesha, simu yangu inaredio siitaji redio nyingine, nyumbani ipo, kwenye gari ipo, ofisin kilaptop changu ni nusu ya hard drive imejaa mziki sasa nikatwe hela kwa kipi spesho, HUUU NI WIZIIIIIIII....

mulika mwiizi...
 
you have won a rottery luck draw $199999!!! call us +194528451111575 free!
 
na hata tigo wana kamchezo hako.....namba yao ni 0713800800

Hawa TIGO ndio wannyonga wanyonge Wezi wakubwa.......Matangazo yao na mambo wanayofanya tofauti kabisa cjui TCRA wapo wapi? Tuungane tufanye campaign kuwahama hawa wezi....
 
wazo zuri..

mi nahamasika kuhamia airtell... kimodem changu cha home natumia airtell hawana sanaa sana kama hawa voda na tiGO..
logo.gif
 
hamia_0.png

aah acha niwape promo, mods mtanisamee maana tigo wazamini wetu hapa jf ni wezi, bora hao apo juu airtell wana KA-unafuu
 
mimi nimepata hii msg mda si mrefu:

YOUR MOBILE NO WON 550,000 POUNDS IN THE BLACKBERRY INTL DRAW IN UK, PIN BBE11, SEND YOUR NAME AND PIN IN BBUKDREA@VF.VC TO CLAIM ......wtf! from this no +905488756733
 
Hivi kuna kampuni iko dar tu inaoitweje tena nadhani wote tuhamie huko tu
 
Mitandao yote ni sawa its the matter of linnear programing kwa wewe mwenyewe kujiunga au kutojiunga na huduma au promotion wanazotangaza na zote utalipia kwani wapo kibiashara na ukijiunga kuna njia ya kujitoa ambayo utaelekezwa na idara ya huduma kwa wateja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom