Rostam Aziz anacheza kama pele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam Aziz anacheza kama pele

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sulphadoxine, Oct 19, 2011.

 1. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135  Rostam
  Aziz,kada wa chama cha mapinduzi (CCM)aliyejiuzulu nyadhifa zake zote katika CCM kwa madai ya kuchoshwa na siasa uchwara,anajua kucheza kama pele na kupanga mikakati kama Kanisa Katoliki.Nimeanza namsemo huo hapo juu kwakufahamu kwamba tangu dunia imeumbwa,hajatokea mchezaji kama alivyokuwa Edson Arantes dos Nascimenio "pele"Nimeambiwa na wanazi wa mpira wa miguu au soka au kabumbu au gozi kuwa pele mchezaji mweusi mzaliwa wa Brazili alifunga zaidi ya mabao 1,500 na kuweka rekodi ambayo haijavunjwa

  Nimeambiwa kuwa pele alicheza fainali za kombe la dunia mara tatuy katika miaka ya sabini akiwa na magwiji wengine wa kusakta gozi au kabumbu kina Garincha.Na mtu pekee ninayeweza kumlinganisha na pele hapa nchini lakini yeye katika kutafuta sabuni ya roho kitu pesa ni mbunge wa zamani wa igunga ,mweka hazina wa zamani wa ccm na mmiliki wa makampuni zaidi ya kumi nchni ni Rostam Abdulrsal aziz.


  Rostam anapotafuta pesa anapowekeza,anapofuatilia noti hucheza kama pele!1akikuacha bega tu utakuta katengenza milioni wakati wengine hata ndurur hamjapata.Huyo niye Rostam.Lakini haya yote tisa,10 ni jinsi anavyojua kupanga na kupangua ,akiweka mikakati ya kupata noti.
  Katika hili taasisi pekee tunayoweza kumlinganisha nayo ni kanisa katoliki,Lile kanisa alilowahi kuliandikia paulo mtume wa mungu,akiwahubiri wagalatia,wakoritho na warumi.

  Hapa sikaribishi ubishi.Angalia mambo yanavyoliendea vizuri kanisa katoliki hapa nchini.Na siku zote si kwa kupendelewa la hasha.ni kutokana na kanisa hilo kupanga mipango mikakati na kutabiri mwenendo wa uchumi na utawala wa nchi utakavyo kuwa.Hakuna padri wala mchungaji kihiyo.Bila digrii nenda kafuge nguruwe,hupati upadri.Wewe tazama mambo ya kanisa katoliki halafu uamue.


  Narudia,mtu pekee nchini anayeweza kucheza kama pele na kupanga mipango yake ikapangika na mikakati ikatekelzeka kama kanisa katoliki ni mfanya biashara Rostam Aziz.Mimi simsifii hivi hivi tu .Hebu jaribu kufuatilia mafanikio yake .
  Waziri wa sasa wa nishati na madini ,mheshimiwa sana Williamu Ngereja aliwahi kuwa mwajiriwa wa Rostamu.Hapo mwanzo Ngereja alikuwa mkuu wa kitengo cha sheria katika kampuni ya vodacom ambayo mmoja wa wamiliki wake ni Rostam aziz upo?

  Kabla ya rostam kuanza kuwekeza kwenye nishati na mdini alimsaidia sana ngereja kugombea ubunge jimbo la sengerema na akashinda.Aliposhinda ubunge akapewa wizara ya nishati na madini.Na sasa kampuni ya richmond/dowans imeshinda tuzo kwenye mahakama ya kimataifa na inatakiwa kulipwa fidia na shirika la ugavi wa umeme tanzania(TANESCO)Nasikia ni mabilioni ya shilingi.Lakini kabla pesa hizo hazijalipwa mkuu wa kitengo cha sheria cha tanesco aitwaye SUBIRA WANDIBA kaondolewa!!!!!!!!

  Hebu bashiri nani kaletwa kuchukua nafasi ya kitengo hicho wakti huu Tanesco ikitakiwa kmlipa mmiliki wa richmond/dowans ambaye mimi nimedokezwa na wanoko wa mjini kuwa ni ROSTAM AZIZ?..

  Ndiyo umebashiri vyema.Ni GODWIN NGWILINI ,mwanasheria mwingine kutoka Vodacom ,ile kampuni ya Rostam aziz!!!! kumbe atoke wapi?Ninacho kiona hapa ni msomi mtaalamu wa sheria wa rostam kapelekwa Tanesco ya serikali chini ya mwanasheria mwingine wa rostam(Ngeleja) kusaidiana kuhakikisha sheria kanuni na taratibu zinafuatwa kumlipa haraka iwezekanavyo mmiliki wa richmond/dowans ambaye ni rostam.  Ni mipango,mikakati na uwezo wa kuona mbali.Cheza kama pele na panga mipango na mikakati kama kanisa katoliki.
   
 2. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Non sence,maneno uchwara meng kuliko mifano ya kweli
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Crap from crappiest.
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Unaonaje kama huna cha kupost ukakaa kimya na kusoma post za wenzako kuliko kupost utumbo ambao hauna kichwa wala miguu? Umeniharibia mchana wangu wewe!
   
 5. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Narudia,mtu pekee nchini anayeweza kucheza kama pele na kupanga mipango yake ikapangika na mikakati ikatekelzeka kama kanisa katoliki ni mfanya biashara Rostam Aziz.Mimi simsifii hivi hivi tu .Hebu jaribu kufuatilia mafanikio yake .
  Waziri wa sasa wa nishati na madini ,mheshimiwa sana Williamu Ngereja aliwahi kuwa mwajiriwa wa Rostamu.Hapo mwanzo Ngereja alikuwa mkuu wa kitengo cha sheria katika kampuni ya vodacom ambayo mmoja wa wamiliki wake ni Rostam aziz upo?

  Kabla ya rostam kuanza kuwekeza kwenye nishati na mdini alimsaidia sana ngereja kugombea ubunge jimbo la sengerema na akashinda.Aliposhinda ubunge akapewa wizara ya nishati na madini.Na sasa kampuni ya richmond/dowans imeshinda tuzo kwenye mahakama ya kimataifa na inatakiwa kulipwa fidia na shirika la ugavi wa umeme tanzania(TANESCO)Nasikia ni mabilioni ya shilingi.Lakini kabla pesa hizo hazijalipwa mkuu wa kitengo cha sheria cha tanesco aitwaye SUBIRA WANDIBA kaondolewa!!!!!!!!

  Hebu bashiri nani kaletwa kuchukua nafasi ya kitengo hicho wakti huu Tanesco ikitakiwa kmlipa mmiliki wa richmond/dowans ambaye mimi nimedokezwa na wanoko wa mjini kuwa ni ROSTAM AZIZ?..

  Ndiyo umebashiri vyema.Ni GODWIN NGWILINI ,mwanasheria mwingine kutoka Vodacom ,ile kampuni ya Rostam aziz!!!! kumbe atoke wapi?Ninacho kiona hapa ni msomi mtaalamu wa sheria wa rostam kapelekwa Tanesco ya serikali chini ya mwanasheria mwingine wa rostam(Ngeleja) kusaidiana kuhakikisha sheria kanuni na taratibu zinafuatwa kumlipa haraka iwezekanavyo mmiliki wa richmond/dowans ambaye ni rostam.  Ni mipango,mikakati na uwezo wa kuona mbali.Cheza kama pele na panga mipango na mikakati kama kanisa katoliki.
   
 6. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Endelea kusoma sio kuongea pumba soma post yangu inayofuata,alafu urudi kutubu.
   
 7. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Heshima kwako.
   
 8. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Endelea kusoma posti yangu inayofuata alafu rudi useme kama nimekaribia mchana wako.
   
 9. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ...najaribu kumuelewa ila naona kama cd inaruka hv..au alitaka kusifia kanisa kupitia kwa RA! au..,.yaani hapana. Au anataka kutuambia kitu kuhusu ukristo na uislam? Lakiin hapana. Mi nadhani huyu hana kazi ya maana ya kufanya au kichwa yake ni mbofu.
   
 10. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Another gibberish story! Mifano mingi ambayo hata haiendani na story yenyewe. Kungekuwa na sheria ya kumshtaki mtu kwa kukupotezea wakati wallahi ningekupeleka mahakamani.
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  sulphadoxine, magwanda wenzako wameshindwa kukuelewa halafu ndio hujiita ma "great thinkers". Nakupa pole sana kuwa mmoja wao.
   
 12. Fighter

  Fighter JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Well said man!salute
   
 13. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  khaaaaa...........yaaani mikakati ya Rost Hamu kama RC????

  Kijana unataka watu tuelewe nini? RC ni wataalamu wa kucheza karata kwa gharama yoyote maadamu wamefanikiwa? Please waombe radhi RC kabla jua halijachwa......

  So irrelevant na imepoteza mvuto wa kile kitu positive ulichotaka ku-communicate
   
 14. africa6666

  africa6666 JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 281
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  .Lakini kabla pesa hizo hazijalipwa mkuu wa kitengo cha sheria cha tanesco aitwaye SUBIRA WANDIBA kaondolewa!!!!!!!!  Ndiyo umebashiri vyema.Ni GODWIN NGWILINI ,mwanasheria mwingine kutoka Vodacom ,ile kampuni ya Rostam aziz!!!! kumbe atoke wapi?Ninacho kiona hapa ni msomi mtaalamu wa sheria wa rostam kapelekwa Tanesco ya serikali chini ya mwanasheria mwingine wa rostam(Ngeleja) kusaidiana kuhakikisha sheria kanuni na taratibu zinafuatwa kumlipa haraka iwezekanavyo mmiliki wa richmond/dowans ambaye ni rostam.
  Mi nadhani tumpe muda Sulpher naona kama ana kitu kizuri ila expression ndio bado. Ana point
   
 15. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Sulpher hakutaka kujulikana kwa mwajiri wake, au yawezekana naye ni gamba ambaye anahizi siri nyeti na hakuna mwingine anayezijua zaidi ya yake na wachache kwa hiyo ili kuonekana yupo upande wa watu wanaojua hili suala inabidi achafue kidogo hali ya hewa.

  Mkuu Sulpher, tupe detail kidogo kuhusu kuhamishwa kwa huyo mwanasheria na kuletwa kwa huyo mwingine imekuwaje? Na vipi ofisini hapo pamekaaje?
   
 16. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hii makala ipo mwanahalisi la leo jumataƶ jamaa ameihamishia huku tena ikiwa nusu.
   
 17. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hawa watu wanaokopi magazeti wana shida sana.
   
 18. b

  bob nasta Member

  #18
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Jamani jaribuni kumuelewa huyu jamaa katumia RC kama mfano tu yaani kutokana na jinsi walivyo na akili. Na kamtumia PELE kutokana na umahiri wake katika football. Na maana yake katika kutafuta pesa huyo bwana Rostam mjanja kama hao jamaa. Ebu angalia hapo huyo mwanasheria tanesco kaondolewa kaletwa voda kama kweli
   
 19. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Umewashika pabaya wa RC
   
 20. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sielewi kwa nini wengi mnashindwa kumuelewa huyu jamaa...! tena wengine wanavyojibu kana kwamba hata hawajasoma vizuri hoja na kuielewa.
  anachajaribu kusema hapa ni kwamba: kwanza anamfananisha RA na pele ambaye alishawahi kuwa mcheza soka mahiri miaka ya nyuma, huyu alikua mbunifu sana katika uchezaji soka na upachikaji mabao (kama unakumbuka ile style ya tik-tak) na alifanikiwa sana kupitia ubunifu wake.

  Pili anatumia mfano mwingine wa kanisa katoliki (hapa sidhani kama ana makosa coz anachokiongea kipo na si kwa katoliki peke yake) kwamba wanamikakati mingi katika huduma zao kuanzia kiroho mpaka ukusanyaji sadaka!

  kikubwa anachofafanua hapa ni mikakati (strategies) za bwana RA ni noma mwe! huyu jamaa yupo kila mahali Mungu wangu yaani da!
  I wonder tumezubaaje....!
   
Loading...