Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mapema mwaka huu viongozi wetu wa juu wakiwemo wabunge,mawaziri, majaji , wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali walimiminika loliondo wakitaka kutibiwa magonjwa sugu ukiwemo...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani kwenye tovuti ya freemedia.co.tz inaonekana gazeti la tanzania daima linauzwa kwa shilingi 400/=, lakini mtaani linauzwa shilingi 500/=. tunaibiwa au ndo usanii?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa mwenye busara na hekima...hana haja ya kufanya uchunguzi KULIONA HILI. Nchi yetu Tanzania imeuzwa sasa ni HAKIKA. Yanayotokea sasa ni kumalizia walioiuza nchi. Hivi kweli na matatizo haya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Gari la mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe likipita daraja la Ulayasi (Mlangali) barabara kuu iendayo Ludewa toka Njombe Historia inaonesha tatizo kubwa la wananchi wa Ludewa ni...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Inaonekana imefika wakati viongozi wote wa TZ wawe wanatembea na ambulance kila wanapoenda,maana afya zao si nzuri. Warudishe mashangingi na wapewe ambulance Kwa hivyo wataweza kusaidia jamii pia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jf members naomba nitumie fursa hii kuwaomba aidia zenu kuhusu uwamuzi wangu wa kutaka kugombea uraisi wa tanzania.>ndugu zangu uwezo ninao.>nimwachama wa CCM na pia ni mwachama wa CHADEMA...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kuanzia juzi maeneo ya sinza,na maeneo mengine jijini umeme unakatika mara kwa mara bla mpangilio kwa maoni yangu nahisi huu ni mgao kama kawaida kimya kimya.serikali iko likizo kwani hamna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hali zenu wana JF. Jamani ewura kazi yenu inawahusu wafanya biashara tuu au pamoja na abiri? Leo kutoka mwenge kwenda tegeta, kunduchi, africana ni Tsh 1000 cash. Sasa mbona serikali haineni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Nimefika Dar sas hivi nikitokea Mwanza, nafika hapa Airport nasikia taarifa ambazo nahisi ni taarifa za uzushi, eti Dr Mwakyembe Amefariki. Haraka nikaingia JF ili nipate taarifa. Lakini sikukuta...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nipo kwenye basi from arusha to dar, barabara hii ni muhimu kwa taifa, ila hali yake hasa kutoka mombo ina mashimo sana
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu katika kipindi hiki kibovu kiuchumi, kisiasa na kiutawala katika taifa letu napenda tena kumshukuru Mh. Edward Lowassa kwa kurudia ile kauli ya "hatukukutana barabarani" ambayo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapa juz kati nimepata lesseni yangu ya kuendeshea gari. Niliona si vizur kutembea na nakala halisi maana kupatikana kwake ni shughuli nene. Nikaamua kutoa copy na baadae ku certify pale pale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
taarifa ya kiinterejensia ya polisi wetu, maandamano ya kupinga malipn ya dowans wanadai al-shabab watafanya mashambulizi je jumamosi kwenye mechi ya simba na yanga al-shabab hawana madhara maana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenu wanaharakati na wapiganaji wa haki za binadamu, tunaomba mtoe tamko kama kesho yale maaandamano yatakuwepo kama kawaida au la..hii ni kwa sababu hadi sasa mmetuacha njia panda...Wengine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kweli nchi hii inaelekea kubaya Juzi maji yamlikatika tuna siku tatu hatuna maji maeneo ya tegeta Asubuhi saa 11 najiandaa kwenye kazi umeme ukakatika mpaka natoka sa12.45 umeme ulikuwa...
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Jamani nimepita mitaa ya mwenge naelekea tandika kuna jamaa wawili walikuja na basi la mbagala wanasema kuna watu wameona guruneti uwanjawa taifa. Jamani mwenye habari kamri atujuze
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wanajamii, naombeni kufahamishwa hivi mtu anapokuwa nje ya Tanzania,say uganda,Kenya na sudan anaweza  endelea kutumia line zake za hapa hapa nyumbani, kama airtel,Vodacom na Tigo, na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiongozi wa hazina ya mkopo wa dhamana katika mataifa ya Ulaya yanayotumia sarafu ya Euro Klaus Regling amewasili mjini Beijing,Uchina katika harakati za kuishawishi Uchina kuwekeza fedha katika...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
HIVI HUU NI MGAWO WA UMEME AU NI NINI?mara umewaka mara umezimika,kwa nini Ngeleja na Malima wasijiuzulu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zinazidi kuzagaa hapa dar kuwa yule Mfanyabiasha Tapeli wa kimataifa kakumbana na mkono wa wajanja pale Gwang Nsuu China kwa kumnyofoa uume baada ya kumtegea mtego! Wanyetishaji wanasema...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…