Mgao wa Umeme Bado Unaendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgao wa Umeme Bado Unaendelea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Oct 28, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kweli nchi hii inaelekea kubaya
  Juzi maji yamlikatika tuna siku tatu hatuna maji maeneo ya tegeta

  Asubuhi saa 11 najiandaa kwenye kazi umeme ukakatika mpaka natoka sa12.45
  umeme ulikuwa haujarudi,

  Nimekuja kazini umeme umekatika tokea sa5 asubuhi mpaka sasa sa 8 haujarudi generator
  yetu imebuma mpaka sasa nasweat kama vile natoka mazoezini


  Vipi huko ulipo umeme upo? mimi nik
   
 2. The Good

  The Good Senior Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Haya mzee mbona kila siku. Huu mgao haujaisha
   
 3. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  kwani nani aliwaambia mgao umeisha?
   
Loading...