TRA tuwekeni wazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TRA tuwekeni wazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiganda, Oct 28, 2011.

 1. K

  Kiganda Senior Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapa juz kati nimepata lesseni yangu ya kuendeshea gari. Niliona si vizur kutembea na nakala halisi maana kupatikana kwake ni shughuli nene. Nikaamua kutoa copy na baadae ku certify pale pale TRA. Cha kushangaza jana nimekamatwa na traffic na kuniambia kwamba hakuna kifungu kinachoruhusu kutembea na copy ya lessen ya kuendesha gari isipokuwa sheria inaruhusu kutembea na copy ya kadi ya gari peke yake. Je, TRA ni mbumbumbu hawajui sheria hii? Kama wanajua iweje wakubali ku certify copy za driving licence?
   
Loading...