Yah: Maaandamano ya kupinga malipo ya DOWANS kesho...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yah: Maaandamano ya kupinga malipo ya DOWANS kesho...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by marhaba, Oct 28, 2011.

 1. marhaba

  marhaba JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 583
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kwenu wanaharakati na wapiganaji wa haki za binadamu, tunaomba mtoe tamko kama kesho yale maaandamano yatakuwepo kama kawaida au la..hii ni kwa sababu hadi sasa mmetuacha njia panda...Wengine tushajiandaaaa...nashukuru.
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,966
  Likes Received: 6,514
  Trophy Points: 280
  Yeah umenena vyema Mpwa, kesho nitakua maeneo ya ubungo kusubiria, na wasipojitokeza naandamana mwenyewe ntakua nimevaa Tisheti rangi ya udhurungi na trauza ya chanikiwiti kuonyesha msisitizo! Halafu hawa sijui wanafikiriaje juzi wametangaza mgao umeisha, kumbe ndio umeongezeka, yaani hadi maeneo ambayo ulikua haukatiki mwanzoni! jana umekatika saa nne usiku hadi asubuhi naondoka home hakuna umeme tena eneo la jeshi! Pambaf kabis
   
Loading...