Guruneti laokotwa UWANJA WA TAIFA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Jamani nimepita mitaa ya mwenge naelekea tandika kuna jamaa wawili walikuja na basi la mbagala wanasema kuna watu wameona guruneti uwanjawa taifa.

Jamani mwenye habari kamri atujuze
 
Mmmh haya ngoja wenye habari watatujuza naona hizo habari si nzuri hata kidogo kama ni za kweli
 
labda alshaababu wa kova wamerejea, na wanamtaka kova kupiga ban mchezo wa YANGA-SIMBA kama alivyopiga ban maandamano ya LHRC kupinga kulipwa kwa DOWANS.
 
Kama ni kweli inaeza kuwa ni implant ili kuprove maneno ya kova
 
Kama kenya wamekubali kufanya mashauriano na al shabab, kwanini kova asifanye hivyo na al shabab wake?
 
Aisee huyu ally-shabaab anataka kuitawala dunia nini? jamaa ni mnoma kupita hata kaka yake Ally-Aquida.
 
Propaganda hizo,hakuna cha grunet wala upuuzi gani hapo.hata hivyo maelezo ya kova ni ya kitoto kama tatizo ni al shabaab na taarifa za kiiintelijensia zimeonyesha watu hao wapo ,so what,kwanini wasizuie hilo shambulio kwa kuwa taarifa zote wanazo,na je kwa nini wasiwakamate hao Al shabaab kama taarifa za kiintelijensia zimeshabaini hilo,na kama anaona maandamano hayo yana maslahi kwa taifa na wao tayari wameshabaini njama za Al shabab kinachozuia kuwakamata nini nni? na je mikusanyiko ni maandamano tu,vipi kuhusu game la watani wa jadi Jumamosi,huo sio mkusanyiko?vipi kumbi za starehe,tena zingine zinatoa huduma usiku kucha,hiyo sio miskusanyiko?hapa kuna jambo liko nyuma ya pazia,ila wasidhani watu wote ni kama watoto wa chekechea.tumeshabaini hoja iliyoko hapo.
siku zinahesabika.
 
Kalidondosha Kova hilo ku justify uongo wake na intelijensia ya kupiga ramli. Al shabaab eti wanachagua kulipua maandamano halafu wanaacha mechi ya watani wa jadi ambayo kutakuwa na high value target kama vile kaka wa kiongozi wao Ismael ( Ismael ni mdogo wa kiongozi wa al shabaab Sheikh Ally Aden Rage)
 
Jamani nimepita mitaa ya mwenge naelekea tandika kuna jamaa wawili walikuja na basi la mbagala wanasema kuna watu wameona guruneti uwanjawa taifa.

Jamani mwenye habari kamri atujuze

Sitaki kuamini kwamba ni kweli guruneti ama bomu lolote lile linaweza kuwa limeokotwa.

Kuna mawili, aidha kuna mtu anatafuta kutisha watu wasijitokeze kwa wingi kuangalia mpira kesho, anazihujumu timu za yanga na simba pamoja na tff, kwakuwa mapato makubwa yangeweza kupatikana.

Ama la, kova anaweza kuwa anaandaa mazingira ya kusitisha mchezo wa yanga na simba ili ku-justify sababu ya kitoto aliyoitoa ya tishio la al shabab dhidi ya maandamano ya kupinga malipo ya dowans.
 
Kalidondosha Kova hilo ku justify uongo wake na intelijensia ya kupiga ramli. Al shabaab eti wanachagua kulipua maandamano halafu wanaacha mechi ya watani wa jadi ambayo kutakuwa na high value target kama vile kaka wa kiongozi wao Ismael ( Ismael ni mdogo wa kiongozi wa al shabaab Sheikh Ally Aden Rage)

Ha ha haaaa....!! JF haijawahi kuishiwa vituko, khaaaaa!
 
ningeacha kwenda kama nikisikia,kuna AK 47 imeokotwa na mwili umekutwa na tundu la risasi eneo la kupigia penati..
 
Police waache kutumbaza wadanganyika kudai mambo ya msingi eti kwa kigezo cha al shabab.! Naombea waje walipue hata huko national stadium.!?
 
Back
Top Bottom