Tanesco na zima washa zima umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco na zima washa zima umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kitorondo, Oct 28, 2011.

 1. K

  Kitorondo Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  HIVI HUU NI MGAWO WA UMEME AU NI NINI?mara umewaka mara umezimika,kwa nini Ngeleja na Malima wasijiuzulu?
   
 2. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Inakera sana
   
 3. c

  chachu Senior Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tokea mheshimiwa amengaza kwenye vyombo vya habari kuwa aggreco wameingiza 100MW na vina vya maji kwenye mabawa ya kuzalisha umeme iko poa hapa mjini mwanza naona mgao ndio umeimarika maradufu. sidhani kama kuna haja tena ya kuita waandishi wa habari wanatutia hasira, wakae kimya wafanye mambo kimya we are too tired now with poor politics on actual issue. tumechokaaaaaaaa.....!
   
Loading...