Mitandao ya simu

chimala

Senior Member
Jul 2, 2010
156
30
Habari wanajamii, naombeni kufahamishwa hivi mtu anapokuwa nje ya Tanzania,say uganda,Kenya na sudan anaweza &nbsp;endelea kutumia line zake za hapa hapa nyumbani, kama airtel,Vodacom na Tigo, na je ghalama za kupiga na kutuma message ni zile zile au zinabadilka<br>
 
Acha uvivu wa kufikiria na kusoma. Jarbu kupitia website zao, kila kitu wanatangaza.
 
zinapatikana kila mtandao wana international roaming service ni gharama sana ila voda ukienda uganda fresh airtel kenya na yenyewe rate zinakuwa za hapa home
 
Back
Top Bottom