Uhaba mkubwa wa petrol mji wa tabora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhaba mkubwa wa petrol mji wa tabora

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KELVIN GASPER, Nov 6, 2011.

 1. KELVIN GASPER

  KELVIN GASPER JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 962
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Toka jana mji wa tabora umekumbwa na uhaba wa petrol.vituo vya kuuzia bidhaa hii misururu ya pikipiki na magari ni mirefu. Kuna mtu ameninong'oneza kuwa, kuna uwezekano ni hujuma inayofanywa na wafanyabiashara ya bidhaa hii. pamoja na kuwa siku ya leo ni sikukuu na mapumziko wa mwisho wa wiki, shamrashamra si sana kama tulivyozoea.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Inawezekana maana Tanzania hii haieleweki kabisa, hata jana nilikwenda kituo kimoja hapa Arusha kinaitwa Panone - kilichopo Shamsi nikaambiwa petrol hakuna nikaamua kuondoka lakini ilinipa alarm fulani kichwani ambayo siyo nzuri.
   
 3. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  daa matajiri wenye mapesa wanaamua wanachotaka
   
Loading...