Marais waliotawala Uganda

Marais waliotawala Uganda

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,373
Habari za jioni wana jf, naomba mnijuze idadi na kama ikiwezekana mnitajie maraisi waliowahi kuiongoza uganda since uhuru na jina la raisi aliyewatafutia uhuru
 
Obote Milton
Amin Idd Dada
Godfrey Binaisa
Yusuph Lule
Yoweri M7
wengine watakutajia nisiowakumbuka
 
Obote Milton
Amin Idd Dada
Godfrey Binaisa
Yusuph Lule
Yoweri M7
wengine watakutajia nisiowakumbuka

Kabaka
Obote
Idd Amin
yusuf lule
Binaisa
Mwanga
Obote (Again)
Okello
Museveni

Not so much sure about the order of Muwanga, obote and Okello
 
was kabaka the emperor or the president?

He was the King of Buganda Kingdom and a leader of the Kabaka Yeka party( chama kilichokuwa na wanachama wengi wa kabila la waganda, kabaka yeka maana yake King Only) alipinduliwa na Obote akisaidiwa na major Idd Amin mwaka 1966
 
Nashukuruni kunijuza kwahiyo rais aliyewapatia uhuru ni nani?
 
was kabaka the emperor or the president?

huyu ndo alikabidhiwa inji na mwingereza, alikuwa kabaka david mutesa wa tatu kama sikosei, akawa waziri mkubwa wa kwanza. kuhusu urais sifahamu!
 
huyu ndo alikabidhiwa inji na mwingereza, alikuwa kabaka david mutesa wa tatu kama sikosei, akawa waziri mkubwa wa kwanza. kuhusu urais sifahamu!
hata hivyo itasaidia kumuelewesha muulizaji..watu wanakamilisha kuandika paper na research zao humu bana
 
Ok wanajamvi nimeelewa na nashukuru kwa ushirikiano mliouonyesh, God bless you all
 
Back
Top Bottom