Hongera Mh.Lema kwa uamuzi wako

imsa

New Member
Apr 11, 2011
3
1
Kitendo cha vyombo vya dola ambavyo ndio vyenye dhamana ya kulinda usalama na amani ktk nchi kuonekana vinatenda kazi kidhalimu,hv karibuni kulionesha kuto vumiliwa na mbunge wa Arusha mjini mh.Godbless Lema mahakamani huko Arusha kwa kile alichokiita ni vitisho dhidi ya wadai haki vinavyotolewa na vyombo vya dola.
 
Lema ni mpuuzi anachofanya ni kutafuta umaarufu wa kisiasa, kama kweli anauchungu aendelee kukaa gerezani kama kweli ana uchungu.
 
Kitendo cha vyombo vya dola ambavyo ndio vyenye dhamana ya kulinda usalama na amani ktk nchi kuonekana vinatenda kazi kidhalimu,hv karibuni kulionesha kuto vumiliwa na mbunge wa Arusha mjini mh.Godbless Lema mahakamani huko Arusha kwa kile alichokiita ni vitisho dhidi ya wadai haki vinavyotolewa na vyombo vya dola.

Ueleweki unasema nini fafanua vizuri thread yako
 
Back
Top Bottom