Tuthamini chetu Jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuthamini chetu Jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Nov 6, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
 2. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu umelipia lakini hii promo?
  Wenzako wanalipia hilo tangazo lao hapo chini.
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapa nia yako yaelekea sio kutuonyesha hii nyumba nzuri bali ni promo au nimekosea?
   
 4. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa mkuu, hiyo link aliyotoa ni ya website ya kampuni fulani.
  Sijui yeye kajuaje kama hiyo nyumba ipo hapa bongo.
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hata kama nyumba haipo bongo lakini mazingira yake yanafanana na nyumba nyingi za hapa bongo zaidi kule Dodoma na Iringa ambako kunamatatizo makubwa sana ya umeme,si lazima usumbuke na Tanesco wanaotaka uwe na nyumba ya Bati ili upate umeme

  lengo langu sio promo lengo ni kuwaeleza wajumbe kuwa tujaribu kuthamini vyetu sio mpaka mzungu atoke mbali ndio nasi tuanze kufuata mkumbo

  Ukienda makubusho pale DSM NYUMBA HIZO ZIPO LAKINI JE ni wangapi wamajaribu kutembelea makumbusho?
   
 6. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Nilipoona ile link nilidhani inanielekeza kuona nyumba nyingi za namna hii. Lakini nilichokuta pale na nilipolinganisha na avatar yako,
  nilipata jibu kuwa unafanya promo. Lakini sio issue sana, mi nilikukumbusha tu kwamba, wenzio wanalipia matangazo humu mkuu.
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hapo south afrika huyu eng kachakachua picha kukuza business yake ya solar
  si haba ila lipia JF kiasi fulani
   
Loading...