Ansbert Ngurumo: Muone, kichwa kama CCM

Kusema ukweli zamani ukiwa CCM ni sifa, siku hizi hata baadhi ya wana ccm damu wanaona hata noma kujitaja CCM!.
 
Ni kweli, kuwa ccm ni tusi, tena la nguvu. Wizi, rushwa, ufisadi, umwagaji damu/uuaji etc; nani anafurahia hizo sifa kama siyo ccm wenyewe tu?
 
Dah! Ni kweli kabisa hata mimi mwenyewe nikitaka kupangua hoja ya mke wangu huwa na muambia ebu nitolee mambo CCM CCM hapa(nikiwa na maana sijaafiki swala husika yaani halina mashiko) na kwa upande wake pia upangua hoja zangu kwa mtindo huo....
 
Back
Top Bottom