Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Katika kuonyesha kuwa tz inapinga shingo upande juu ya agizo la London, Mwana mfalume na kidosho wake wamefika tz na leo watatembelea Kigamboni kufungua visima vya maji ambayo ni yetu lakini wapumbavu wanasema ni ya msaada toka uk!
Mida hii hapa feri ni maandalizi ya ujio wake na ktk hali ya kushangaza pantoni moja limesimamishwa na kufanya hali ya usafiri kuwa mbaya sana! Foleni ni kubwa sana kiasi kwamba hata wanausalama tunapata tabu kutekeleza majukumu yetu!
Hivi ndivyo tunavyo ukubali ushoga kiaina!