Jamani taarifa ni kuwa kesho ni mapumziko. Yaani iddi pili! Waislamu watuthibitishie
Ninachofahamu hili la Sikukuu inayoangukia Jumapili na mapumziko kusogezwa siku inayofuata lilishafutwa, kama ndiyo hivyo basi kesho ni siku ya kuwajibika ila ni vizuri kutafuta uthibitisho wa hili.
ebu niende tovuti ya bakwata nikapate shule ya elimu ahera
Jamani taarifa ni kuwa kesho ni mapumziko. Yaani iddi pili! Waislamu watuthibitishie
BAK hiyo kitu haipo siku hizi mambo ya kulipia kama mfungo wa ramadhan hayapo tena. Ikipita imepita.Ninachofahamu hili la Sikukuu inayoangukia Jumapili na mapumziko kusogezwa siku inayofuata lilishafutwa, kama ndiyo hivyo basi kesho ni siku ya kuwajibika ila ni vizuri kutafuta uthibitisho wa hili.
Hii inaonesha jinsi wtz tulivyo wavivu