Jeremiah Sumary, mbona hapelekwi india?

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,516
1,404
Wakuu,
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ni Mgonjwa zaidi ya mwaka sasa.
Toka Kipindi cha Kampeni alikuwa mgonjwa sana. Ni Takribani mwaka na mwezi toka uchaguzi 2010 upite.
Umekuwa ni Utamaduni wa Viongozi wanaogua maradhi mbali mbali kupelekwa India na serikali, kwa ajili ya matibabu na Uchunguzi zaidi.
Je? mbona yeye hajapelekwa huko? Au alishaenda kimya kimya? Hata mkuu wa Nchi sijasikia ameenda kumtazama.
 
Huyu bwana alipougua alipelekwa Nairobi!!! Angetaka kwenda India angekwenda tu mbona hata yule mbunge wa zamani wa Tabora inasemekana yuko huko kwa miezi mingi tu!!
 
just benefit of doubt. Inaweza kuwa anaumwa magonjwa yetu yaleeee. 'Ka_drum' Unategemea nn hapo?
 
halafu hili suala linavyoendelea, japo wanasema ugonjwa wa mtu inabidi kuwa siri lakini kwa hili la wabunge na na watumishi wengine wanananchi tunapaswa kujua kinachojiri (kama Zitto alijaribu kueleza kwa undani kilichomsibu) maana sisi ndio walipaji wa hizo bills zao na tuna haki ya kujua
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom