SERIKALI ya Uingereza imetoa shilling Bilion. 25 kuisaidia Tanzania kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kuanza Agosti 26 mwakani...
Jamani nisaidieni mawazo huku mikocheni a jana kulikuwa na umeme wa mafungu.baadhi tulilala gizani .leo tukatoa taarifa wakasema watafanyia kazi,saa |2 ukawaka kwa dk |5 ndio mpaka nimapotuma...
Sina uhakika kama ndugu yangu mkwere atamaliza miaka 5 kama rais wa TZ.
Ukiachana na ahadi zake za trillion kadhaa,hereunder are the suprises:
1.katiba
2.Dowans
3.umeme bei juu
4.gas bei...
25 November 2011 Last updated at 18:17 ET
US Black Friday marred by shootings, pepper-sprayings
Many shoppers were looking for bargains in what are tough economic times
In pictures: Black...
Kwa waliofuatilia Taafifa ya habari ktk television yaTBC1 ni dhahiri kabisa tumeona kuwa kuna Kijana anaitwa Petro a.k.a.Mzimu ambaye ni mkazi wa Kigoma,ambaye amekamatwa na mtambo wa kutengeneza...
Kutoka Blogu ya Kigwangalah (MB), Nzega: Dr. Hamisi Kigwangalla's Round Table: Mapinduzi ya Kijani (Pamba) Yamefanikiwa Nzega!
Wiki iliyopita Hussein Bashe, hasimu na mshindani mkubwa wa Mbunge...
OFISI ya Bunge imesema kuna uwezekano wa kubadilishwa au kufutwa kabisa kwa Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba wa mwaka 2011, endapo itaonekana kuna sababu za msingi.Hayo yamebainishwa...
Thursday, November 24, 2011 3:37 AM
Hali ngumu ya maisha nchini Ugiriki imepelekea idadi ya waathirika wa ukimwi nchini Ugiriki iongezeke kwa kasi kutokana na baadhi ya...
Wakuu niko huku mail moja sisogei popote ,hamna matrafiki huko mbele wa kutusaidia, kama kuna mdau amebanwa na hii jam atujuze ili tutafute utaratibu mwingine ,toka saa 11 nipo on road !
Amenaswa kiongozi mmoja kijana wa ngazi za juu hazina akiongea kwa simu na mtu ambaye hakufahamika mara moja. "Kuna tatizo hapa, pesa hakuna. Hata mishahara ya mwezi huu ni kizunguzungu, Juhudi...
1.Mtu anayeweza kuipeleka gerezani maisha familia nzima (Nguza & family) kwa kosa la kutunga tu!!huyu ni muuaji katili.
2.Mtu anaweza kuwazulia ubaya,kuwachafua na kuwadhalilisha wenzake ili yeye...
Mke wake ndiye kinara wa kusafirisha mbao kutoka mikoa ya kusini. Pia ndiye anayeongoza kwa kuhodhi aridhi katika maeneo mbali mbali nchini. Mwanae Riz inasemekana anamiliki magari makubwa ya...
Ninasema hivyo coz kila mwanamke anataka mtu mwenye pesa au mwenye maisha mazuri!Nina 23yrs lakini sijawahi kukutana na mwanamke aliyenipenda jinsi nilivyo kila mmoja anacheka nami akiwa na shida...
Hapa niko jirani na kituo cha trafic naendelea na shughuli zangu na trafic kama kawaida wanaendelea na kazi yao ya kukusanya hongo. Kila gari linalopita linasimama konda au tingo anatoa kitu...
acha kudharau shule bana,nimeamini kupass sio lazima uwe ktk shule yenye majengo mazuuuuuuuuuuuuri,ona hii shule ndio iliyonitoa tongotongo mpaka sasa nipo mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaari sana,tena hili...
Kwenye baraza la umoja wa mataifa tuna kuwa kuna katibu mkuu wa umoja huo.
Je mwenyekiti wa umoja wa mataifa ni nani. Kama huyo ni katibu ina maana kuna mwenyekiti wake.
26/11/2011
*
Bodi ya wakurugenzi ya*Miss*Tourism*Tanzania*Organisation, wenye dhima ya kikomo ya kuandaa mashindano ya*Miss*Utalii Tanzania, imewafutia leseni waandaaji wa*Miss*Utalii Mkoa...