Hii ndio shule aliyosoma engmtolera

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
acha kudharau shule bana,nimeamini kupass sio lazima uwe ktk shule yenye majengo mazuuuuuuuuuuuuri,ona hii shule ndio iliyonitoa tongotongo mpaka sasa nipo mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaari sana,tena hili ndilo lililokuwa darasa langu la kwanza,mbele yake ni darasa la pili

376517_298775033479790_100000418869866_1127436_634178395_n.jpg
 
Ndio usaidie ujenzi wa madarasa hata mawili mkuu jamii iliopo ijue ulipita hapo..
nitapeleka dawati moja tu,nikijenga darasa nitaleta ugomvi na wanasiasa wataanza kudhani nataka kugombea ubunge,na kufanya biashara zangu zisiende

kuondoa hilo nitapeleka dawati tu,
 
kweli mkuu wangu. we peleka moja tu pia usipeleke directly mpe mtu pale kijijini apeleke yeye. wewe usionyeshe hata uso. aaaa natania tu kuwa na amani.
 
Sasa Inakuaje Eng_mzima ushindwe kusaidia jamii yako kwa kubanwa na mfumo?jamii yako inanufaikaje na elimu yako sasa?au kuwatimulia vumbi mtaani kwenu ndio ki2 wananufaika nayo?anyway kiasili wapongoro sio wa2 wenyeasili ya kupenda au ku2kuza kwao hata wafanikiwe aje.... vp wewe ni tofauti na hao? fanya mambo mkuu acha fikra mfu hahahahaaaaa....lol.
 
Ndio usaidie ujenzi wa madarasa hata mawili mkuu jamii iliopo ijue ulipita hapo..

kaka unayajua madarasa mawili wewe? Aache kununulia mbegu wajomba zake, akajengee serikali madarasa huku madini yakitole zawadi vs vyandarua!
 
kwa mbali umepaki landcruiser!! ebu jenga shule wangu.......

HIYO GARI YA MBUNGE
mimi hata pua huwa si sogezi,nyie si mnasema mpo mbali na mazingira halisi
kwanza mtambue kuwa mpaka sasa shule ina walimu wawili tangu 1976,serikali inalijua hilo,sasa kama serikali imeshindwa mimi mtu mmoja tu na pesa zangu za mawazo hizi nitafika wapi?
 
Mtolera jenga shule mkuu.........

Nipo tayari kufanya hivyo,lakini kwanza unihakikishie usalama wangu na mbunge,na pia ujaribu kuongea na wazee wa pale kijijini kuwa najitolea sio kwamba ninapesa nyiiiingi kiasi kwamba wakaanza kusema oooooooooooooooooooh mpeni kichomi,oooooooooooooooooh mpotezeni,
 
Kama mainjinia wenyewe ndio kama hivi basi hakuna tofauti ya discpline na career ya uinjinia na na crrer ya uanasiasa. Sanaaa tupu.

KWanza hlo darasa liko kijijni inawezekana sio tatizo. Wewe wa mjini inaweza uwa issue kwako. Kumbuo hilo darasa sio la ilala. Inawezekana na watoto wanaosoma hapo hata nyumbani kwao hawakai kwenye viti. Nunua japo vitabu vya hesabu, Kiswahili na englisha kwa kila mwanafuzi .

Sometime nashanga eti wasomi wanahangaika kujenga vyoo kwenye shule za vijijini badala ya kuatazama mambo ya msingi kwanza.

HIYO GARI YA MBUNGE
mimi hata pua huwa si sogezi,nyie si mnasema mpo mbali na mazingira halisi
kwanza mtambue kuwa mpaka sasa shule ina walimu wawili tangu 1976,serikali inalijua hilo,sasa kama serikali imeshindwa mimi mtu mmoja tu na pesa zangu za mawazo hizi nitafika wapi?

Sio lazim ujenge kujenga ghorofa nimekupa mfano unaweza kujitolea kuwanunulia watotot wote wa darasa la tano sita na saba vitabu ya hesabu. inawezakana hawaazidi 60. Utaleta+ve diffenrece kama utawezesha kila mtoto kuwa na kitabu anachoweza kwenda nacho nyumbani. Wakimaliza shule wnavirudsha shueni.

Back
Top Bottom