Foleni ya kutisha ubungo mpaka maili moja..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Foleni ya kutisha ubungo mpaka maili moja..!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Safety last, Nov 26, 2011.

 1. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wakuu niko huku mail moja sisogei popote ,hamna matrafiki huko mbele wa kutusaidia, kama kuna mdau amebanwa na hii jam atujuze ili tutafute utaratibu mwingine ,toka saa 11 nipo on road !
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  naskia kuna gari zimegongana Kibamba
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Au mrudi mpaka TAMCO Kuna barabara yatokea Bagamoyo... poleni ilauliza wenyeji...
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Poleni sana.
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  asante ! nimeshapita hapo , mkuu ,inatisha sana hatusogei popote ,inakatisha tamaa sana halafu hii ni barabara kuu inatoka mikoani
   
 6. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tamko kuna barabara inapita Mabwe pande unatokea Bunju kisha fasta unakuwa Mwenge. Hautokei Bagamoyo bana..... Au ukitaka unatoka Maeneo hayo ya Tamko unapita Mpiji Magoe,unapita Mbezi Makabe kisha unatokea Mbezi Tangi bovu kisha fasta upo Mwenge. Zote ni rough road lakini zimechongwa fresh. Ukitaka kuwahi Dar uwe mbunifu!
   
 7. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  asante mpendwa, naona tunamove mdogmdogo,
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hilo jiji ndio maana silipendi. Masaa matano njiani utafikiri unaenda mkoani.
   
 9. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  nimekupata mkuu, ntapita mbezi mwisho nitokee goba then tangibovu tayari home !
   
 10. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ukifikiria sana inaudhi na ndio "jiji"

  kidogo tunasogea
   
 11. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Natamani kulia tangu saa 10 niko kibamba,nimefika kibaha saa 3 usiku,
   
Loading...