Tanesco kunani tena?

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Jamani nisaidieni mawazo huku mikocheni a jana kulikuwa na umeme wa mafungu.baadhi tulilala gizani .leo tukatoa taarifa wakasema watafanyia kazi,saa |2 ukawaka kwa dk |5 ndio mpaka nimapotuma tread hii
 
Sio hiyo tu,
Kwa wanaonunua umeme wa luku kwa kupitia kadi leo siku ya pili mtandao haufanyi kazi!!
 
Back
Top Bottom