JK...JK...utatoboa kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK...JK...utatoboa kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Jan 15, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sina uhakika kama ndugu yangu mkwere atamaliza miaka 5 kama rais wa TZ.
  Ukiachana na ahadi zake za trillion kadhaa,hereunder are the suprises:

  1.katiba
  2.Dowans
  3.umeme bei juu
  4.gas bei juu
  5.maandamano

  machalii wa mererani wana swali lao, je mkwere J.K UTATOBOA?
   
 2. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  I don't think so
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapo alipo presha ipo juu so probably not!
   
 4. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kazi anayo naamini itafika wakati atatamani mshale wa saa uende faster maana naamini hata ukiwa katili dhamira lazima itakusuta na utakosa raha.
   
 5. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Alishasema kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi. 2015 tutafika naye tu hakuna namna ingine !
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,523
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu hizi kelele si za mlango pekee,naona ni kelele za mawe kwenye paa na madirisha.hapa kulala haiwezekani lazima atoke nje!
   
 8. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Nashukuru kwa kuweka hili swali. If all conditions remain the same (ineffective fractured govt, lame duck president, mafisadi wanatafuna nchi, empty coffers, mapinduzi na maandamano ya umma ktk nchi zingine, maandamano na migomo ndani ya nchi), simpi JK miezi 6 ya urais. I stand by this.
   
 9. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  JKEIIIIIII......baba term hii kazi unayo!! Dhambi gani hutaki kutubu mbele ya watu wako??? Its beta ujitokeze uanze kampeni upya uone ni waTZ wangapi wako na wewe!Natumain you will get the ansa!! Its just an advice 2 Dr,Mr.President!!
   
 10. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  watanzania tufuate nyayo za wa Tunisia, hapo kelele za vyura zitamnyima usingizi! Tusibaki kucomment hapa JF Eh Mungu tupe moyo wa ujasiri tuweze kuitetea nchi yetu na hatimaye kuiondoa kwenye makucha ya mafisadi. Amin
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kweli anawakati mgumu kuliko maelezo kama kuna k2 anatamani bac kikombe cha uraic kimwepuke
   
 12. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  bado naisubiri dubai ya tanzania
   
 13. Double X

  Double X Senior Member

  #13
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uwongo mbaya jk asa ivi usiku halali, mambo ni taiti na kama angelijua itakuwa ivi, walahi asingeigusa fomu ya kugombea mwaka jana.
   
 14. M

  Msharika JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  siyo kugusa fomu ya kuomba uongozi tu, pia asingejaribu kuchakachua
   
 15. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hizo ni kelele za wanasiasa tu,watachoka hivi karibuni na mambo yatamuendea vizuri.
   
 16. k

  killa Member

  #16
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la wanaharakati wa Tanzania ni kuwa wamegawanyika, wengi humu ndani licha ya kuwa wanaharakati lakini vilevile wana ka-element cha sunday school..... Hawawezi kujizuia kuonyesha upendeleo wao wa sunday school, ambao ni udhaifu mkubwa sana. Kwani hamtaweza kuwa wapiganaji wa watanzania wote kama alivyokubalika mwl.Nyerere kutokana na attitudes zenu kwa watanzania wenzenu waliokuwa tofauti nanyi.

  JK na watu wake wataendelea kupeta licha ya kilele za humu ndani kwa sababu tactics ninazoziona ni dhaifu, huwezi kuwatukana baadhi ya watu unaotaka kuwasaidia halafu utegemee watakuunga mkono, kwa kitu gani hicho ulichokuwa nacho cha kuweza kuwa-convince, kwani hata huyo mwl.Nyerere ambaye alikuwa msafi lakini aliaacha nchi taabani, maskini, na ufukara kila sehemu. Mkapa akauza nchi kwa mafisadi, JK ni muendelezo, ndiye pekee mwenye chance ya kubadili muelekeo.

  Pingeni sera za JK kwa siasa za serikali ya CCM bila ya jazba za kushambulia dini yake au watu wa dini yake au kabila lake kwani watu wanaojisabihisha naye na vitu hivyo viwili hawatasahau kamwe matusi yanayoelekezwa kwao kiujanja ujanja au kwa wazi kupitia JK.

  Mfano mkubwa ni Marekani, Waamerika weusi karibuni asilimia 95 (almost 95%), kila uchaguzi wanawapigia kura chama cha Democrat na wamejitenga mbali na chama cha Republican kwa sababu Republican wamekumbatia majitu mabaguzi na wenye kuwatukana watu weusi kila wakipata nafasi, sasa hali hii naiona kwenye hizi threads humu, watu wanajiita great thinkers lakini wakianza kuzungumza tuu unaziona bias zao, prejudice na hatred walizokuwa nazo kwa watanzania wenzi wao hata mtu akiandika sentesi ya mstari mmoja tu unasoma mind yake ilivyokuwa corrupted na bias, na hatred. Kwahiyo hata akiendelea kutoa points tayari anakuwa kwa watu wengine ameshapoteza credibility ya kuwa mpiganaji wa wote.
   
 17. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  uchambuzi mzuri.tupunguze ushabiki tuchambue mambo kisomi.
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sasahivi sio wanasiasa pekee wako wanafunzi na wanazuoni.
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Maandamano ya wafanyakazi,Tamko la Uvccm,msimamo wa kamati kuu ya ccm kuhusu Dowans.
  Mkuu wa kaya ndugu yangu najiuliza tena utaiona 2015 ukiwa kama rais.nakushauri ujiuzulu na utakumbukwa kwa hilo.
   
 20. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Atafika usihofu. 2006 hakukuwa na umeme wa uhakika na leo hii hali ni mbaya kuliko 2006 lakini Kikwete bado ni raisi wetu.
   
Loading...