Hii ni roho ya Muuwaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni roho ya Muuwaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Borakufa, Nov 26, 2011.

 1. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  1.Mtu anayeweza kuipeleka gerezani maisha familia nzima (Nguza & family) kwa kosa la kutunga tu!!huyu ni muuaji katili.

  2.Mtu anaweza kuwazulia ubaya,kuwachafua na kuwadhalilisha wenzake ili yeye ateuliwe kuwa mgombea uraisi kupitia chama chake huyu ni kama muuaji tu.

  3.Mtu anayetoa amri kwa vibaraka wake ili viongozi wa kisiasa wakamatwe, wawekwe ndani, wafunguliwe kesi za kutunga ovyo ovyo na kudhalilishwa kwa kila namna!! huyu anayo roho ya kiuwaji kabisa.

  4. Mtu anaye amarisha vibaraka wake watumwagie risasi eti kwa kuwa tunaandamana kwa amani!!! yani huyu ni muuaji katili sana

  5.Mtu anayeamrisha vibaraka wake watumwagie risasi na kutuuwa kwa kumlinda mwizi wa dhahabu yetu!! Hili ni liuwaji kubwa sana

  6.Mtu anayepora fedha zetu ovyo ovyo kwa kushirikiana na mashwahiba wenzake huku akiwaletea bajaji mama zetu eti ziwapeleke hospital ambako pia hakuna dawa!! huyu ni bonge la muuaji.

  Mboe, Dr. Slaa, Pro. Baregu, Pro. Safari, Tundu Lissu na wengine jueni mnakwenda kuzungumza na mtu kama wa aina hiyo. Watch out !!!
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :embarassed2: Watch out
   
 3. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mh! hii ngumu kumeza
   
 4. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Haimezeki!
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ngoja no-log off, nitarejea baada haya machache yaliyonenwa mwaka huu kutimia: waraka wa wanausalama 2858, waraka wa kumtaka ajihudhru baada ya siku 100(zinaisha tisa desemba), hoja ya kutenganisha urais na uenyekiti.....period, na ama after 2015 election.
   
 6. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Inauma sana ya Nguza
   
 7. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Acha tu lakini watanzania tulivyo malaika unafikiri tunaona,tunadharauliwa wazi wezi ambao hadi wawakilishi we2 wamewasema hawaandiki hata kuwaza kujiuzulu,oh God have mercy on us,kuishi tanzania ukiwa unawaza sana hukawii kuvaa bomu,sitaki hata kusikia hawa watu nimechoka,
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Liyumba?, kuwafilisi waliokataa kumuungamkono kwenye mbiyo za urais?!: mashishanga, barabhou?!, tambalizeni, brother Miki?!, kuwakumbatia walitoa fedhanyingi ...... Rostam, Rwakatare, Nkya, Mengi. Kuwakumbatia waliomletea vigagula......makamba, shekh Barhamia, sheikh yahya................
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  7: Kwakuongeza mkuu pia mtu kuwaahidi watu wa mkoa wa Kigoma kua ataugeuza mkoa huo na kua kama DUBAI wakati anajua kabisa haiwezekani mpaka sasa hivi tunatimiza miaka 50 ya uhuru watu bado wanaishi kwenye nyumba za Tembe! Huyu ni muuaji kabisa.
   
 10. N

  Namjeny Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Inauma sana ila kila kitu kina mwisho wake
   
 11. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Sana sana si wewe tu!
   
 12. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ni wauwaji wachache ambao wanaweza kujitokeza hadharani na kusema mi ni muuwaji
  et anasema tumuangalie sura kwani sura ndi jibu?
   
 13. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kaka wacha ulongo KIGOMA hakuna nyumba za Tembe, nitajie hata kijiji kimoja chenye nyumbaq za TEMBE
   
 14. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #14
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  watu wenye hali duni kg wanaishi ktk nyumba gani?
   
 15. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,992
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280

  TO EVERY ACTION THERE IS EQUAL AND OPPOSITE REACTION....believe it or not, muosha huoshwa!
  It will be revealed soon.
   
 16. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dah! umeme ndo umerudi yani tabu tupu!
   
 17. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yeah! mwisho wake upo! tumwombee mwisho mbaya
   
 18. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jf ina mambo!
   
 19. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Bora kufa!
   
 20. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nitafurahi siku na yeye akioshwa kwa maji ya pilipili!
   
Loading...