Utajiri wa familia ya JK baada ya kuingia madarakani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utajiri wa familia ya JK baada ya kuingia madarakani.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Nov 26, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mke wake ndiye kinara wa kusafirisha mbao kutoka mikoa ya kusini. Pia ndiye anayeongoza kwa kuhodhi aridhi katika maeneo mbali mbali nchini. Mwanae Riz inasemekana anamiliki magari makubwa ya mizigo aina ya SCANIA zaidi ya 200, SCANIA ndio gari lenye bei kubwa zaidi kwa sasa. Pamoja na magari hayo, pia anamiliki vituo vikubwa vya kuuzia mafuta. Mwanae mwingine aitwae Miraji, anamiliki hoteli kubwa katikati ya mji wa Dodoma iitwayo Kitemba. Huyu yeye alivunja rekodi ya kwa kumiliki VX mwezi mmoja tu baada ya JK kuwa Rais. Ni tetesi: juu yako kuamini, ama kutokuamini.
   
 2. rweyy

  rweyy Senior Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  mbuzi ula kulingana na urefu wa kamba yake
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kumbe tetesi ndo maana ANAOGOPA KUMUWAJIBISHA LOWASA!
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Aisee tena huyo Miraji ana kila dalili ya kutumia unga kwa kumuangalia tu. Miraji huyu mamake anayefundisha Kikuyu shule ya msingi huku dodoma ndo mmiliki wa kitemba hotel? Mweee basi dunia na TZ imekwisha.

  Huenda hii familia imeamua kuishi maisha ya kigadafi sasa.
   
 5. P

  PARAGEcTOBORWA Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mnataka wasijitafutie maisha ya baadaye? Au mnapenda nao waje wagombee urais kama wafanyavyo watoto wa marais wengine? Acheni wivu tena mm kwenye mchakato wa katiba nitapendekeza familia za Marais ni Ruhusa kufanya biashara maadam hawavunji katiba na sheria. binadamu wote ni sawa
   
 6. Black Rose

  Black Rose JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Hii hatari
   
 7. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Doooh, kumbe jibu la kuchelewa mishahara hili hapa.
   
 8. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Wivu tu,mnataka rais na familia yake wawe omba omba?
   
 9. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ingefurahisha sana kama wangebaki pale pale Ikulu baada ya baba yako kumaliza muda maana anatamani sana kuishi maisha ya ikulu ikulu
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Riz kumiliki 90% ya carwash in Dar
   
 11. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa wengine umeonyesha una uhakika lakini kwa RIZ umesema inawezekana!!!! tuwekee vitu vya uhakika, wana JF ndo wanataka hivyo.
   
 12. Bob Lee Swagger

  Bob Lee Swagger JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ukiongelea wivu kwa wepesi kiasi hicho unakuwa umejipotezea fursa ya kufikiri, ambayo ndiyo kazi halisi ya ubongo, sasa sijui utakua unautumiaje ubongo wako!!
  Halafu Suala la kuwa omba omba pia ni relative, kuna watu ni ombaomba na vitu wanavyo, na kuna wengine hawana kitu kabisa!
  Suala ni jinsi wanafamilia hawa walivyopata vitu hivyo vyote, je kweli ni kwa kufanya kazi kwa bidii pekee? au ni kwa kuwa urais unaendana na milango kufunguka hata bila kupiga hodi?? jiulize tu!
  jiulize source ya mtaji alionao RK? Jiulize source ya mtaji wa mama mwenye kaya? Jiulize ilikuwaje kabla ya hii miaka waliyokaa magogoni ilikuwaje na kwa kipindi hiki cha miaka 6 ya magogoni wameongeza nini na nini??!
  Binafsi naona kuna kitu zaidi ya kufanya kazi kwa bidii! wewe unaona ni wivu wetu, nadhani ndo moja ya tofauti zetu katika kutumia viungo tulivyopewa, na hapa naongelea ubongo!

   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,330
  Likes Received: 22,173
  Trophy Points: 280
  mbona nasikia kikwete ni masikini sana? Hela yake yote anayoipata, anawowa
   
 14. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  aliwahi kujinadi et anamiliki jiko la mchina tu
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ukistaajabu ya mussa utayaona ya filauni! Na ile hotel serengeti
   
 16. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Waswahilli bana, yani ulitaka mtoto wa Raisi ukaie nae huko kimanzi chana mle wote kauza na matembele? Kumbuka kuwa mtoto wa Raisi unakuwa tayari ume create goodwill which gives you accessibility to anything like bank, any company in the world would love to deal with you. Hivyo mimi sioni ajabu Riz one kumiliki ma scania, vituo vya mafuta na sijui mke wake anasafirisha mbao. Kwanza mimi bado namwona maskini kwani Uhuru Kenyata wealth yake ni Tshs 3.3 trillion sawa na budget ya TZ for 25%.
   
 17. enhe

  enhe JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 933
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 80
  Mmesahau Makonde Beach Club na Safari Radio Mtwara.
   
 18. r

  robert palice Member

  #18
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We kbaraka 2
   
 19. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Waacheni wafanye kazi za kuwapatia kipato. Mradi tu walipe kodi kama inavyopasa. Wakionekana wanaomba watu pesa za kula mtaanza kuwasema pia!
   
 20. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ipo siku mawe yatapaza sauti.
   
Loading...