Ona hii Haya Ndio Maandalizi ya Kummaliza Ruge Tarehe 26/11/2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ona hii Haya Ndio Maandalizi ya Kummaliza Ruge Tarehe 26/11/2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Nov 25, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  aisee natamni nikurupuke dom leo nije huko dar kesho kuenjoy ma antivirus, mweeeee! mbona mwafaidi peke yenuuuuuuuuuuuu!
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,526
  Likes Received: 5,674
  Trophy Points: 280
  Big Stage,Big Sound and Many Lights!!! No Apology!!!
   
 4. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kamanda eeeh! hapo Al Shabaab vipi? Au wanakuja kwenye maandamano tu?
   
 5. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Kweli hakuna msamaha VINEGA for life:shock:
   
 6. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Khaaa !
   
 7. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ruge anatumia muda mwingi sana kuwapa airtime wasanii kwasasa akiwemo kalapina (kikosi cha mizinga) aili wamponde sugu,kalapina anasema yeye ndio muhasisi wa hip hop tanzania na sio sugu.Hadi sasa tayari watu 41,000 washakata tiketi kwa ajili ya show ya sugu.
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kama ni kweli basi panahitajika tahadhari ya hali ya juu sana, sipati picha ya hiyo idadi na ukubwa wa eneo lenyewe. usalama hapo ni utata kwa kweli!
   
 9. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  sipati picha hiyo show, nitakuwepo.
   
 10. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Aseeee....
  All the best wakuu!
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  tiketi zinapatikana wapi hapa dar? mia
   
 12. K

  Kalila JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo ndo sugu stage ina uzito wa tan 180 imecost mil 50 na kwa mara ya kwanza clouds wanatembea na gari ya PA mitaani kuhamasisha watu tho tiketi zao hazitoki pamoja na kuhaidi watu 200 wa kwanza wataingia bure lool waliopewa tiket za complimentary wanaziuza wapate buku 5 za kuwaona vinega rugeeeee ujakoma mswaki ulipogwa mbeya hadi wasanii wengine hukuwalipa na ikitoka dar ni mikoa yote tz na world wide
   
 13. K

  Kalila JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mlangoni siku ya shoo na pia tishert zitauzwa bila kusahau kitabu cha sugu
   
 14. K

  Kalila JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  that watsup sio hadi aje dmx ndo ifungwe big stage hapo ni vinega tuu
   
 15. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Halafu nyepesinyepesi Sugu kampati ticket ya complimentry muheshimiwa Abbasi Kandoro naye atakuwepo! Aisee hapatatosha!
   
 16. N

  Nagoya Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Big up sugu tutakuwepo.
  Hata tiketi ungeuza lakitano ningenunua. Maana ant virus cd ulitugawia bure.

  Hongera chadema kumrudishia sugu ndoto yake ambayo ilibebwa na ruge
   
 17. G

  Ginner JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Mimi na ndugu zangu tutakwenda kwa DMX
   
 18. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mimi na demu wangu tutaenda kwa sugu.
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,230
  Trophy Points: 280
  nitakuwakilisha
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
Loading...