Umoja wa mataifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umoja wa mataifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ndume, Nov 26, 2011.

 1. n

  ndume Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kwenye baraza la umoja wa mataifa tuna kuwa kuna katibu mkuu wa umoja huo.
  Je mwenyekiti wa umoja wa mataifa ni nani. Kama huyo ni katibu ina maana kuna mwenyekiti wake.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  UN ni taasisi ya Freemason.
  Mwenyekiti wa UN ni Lusifa, shetani mwenyewe
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duuuuh, hii sijawahi kuisikia na wala sihitaji source kabisa.
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duuuuh, hii sijawahi kuisikia na wala sihitaji source kabisa.
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duuuuh, hii sijawahi kuisikia na wala sihitaji source kabisa.
   
 6. JS

  JS JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Katibu mkuu ni wa UMoja wa Mataifa yote. Hakujawahi kuwa na Mwenyekiti wa Umoja huo. Isipokuwa Baraza la UN huwa linakuwa na Rais (si wa nchi) ambaye huchaguliwa kila mwaka. Mwaka huu Rais wa Baraza hilo ni Mwakilishi wa Qatar kwa Umoja wa Mataifa.
   
 7. n

  ndume Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mbona nimepata tetesi kuwa mwenyekiti wa umoja huu ni rais wa Marekani ila inaonyesha kuna siri fulani hivi.
   
 8. JS

  JS JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hapo sasa sijui itabidi nijifunze zaidi kuhusu hili kujua kama kuna ukweli ndani yake au hapana.
   
Loading...