kuna jali imetokea kwenye daraja la mto kizinga barabara ya kwenda mbagala na kilwa. Ni kati ya isuzu journey(daladala) na pickup toyota. pickup ilikua inaingia barabara kubwa ndo ikagongwa na...
Nini cha kujivunia wanawake watanzania katika nyanja mbalimbali kwa maaana ya kisiasa , kiuchumi, kielimu, kiafya, kiutamaduni na fursa kwa jamii ndani ya kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania?
Monday, November 28, 2011, 6:34
Mtanzania-Habari
Atumia biblia kubeza wanaomchafua kisiasa
Asema Mungu yu pamoja naye, adai anapumua
Na Pendo Mangala,Singida
Alisena kutokana na kuwepo...
na Francis Godwin, Iringa
WAKATI zikiwa zimepita siku mbili tangu Jeshi la Polisi nchini kuzuia maandamano ya wanaharakati wanaopinga hatua ya serikali kutaka kuilipa kampuni ya kufua umeme ya...
Habari,
Nimepita na gari nikielekea mbezi nimeona umati wa watu na Landcruiser ya blue ya polisi,kwa information ni kwamba kuna mtu amefariki pale amekutwa kwenye majani
Nawasilisha
Kupitia stori na hata kushuhudia mwenyewe toka kwa watu wa karibu kweli na conclude wabongo walio wengi si waaminifu na wengi wanastahili kubakia na hali zao mbaya za kiuchumi
Stori iko hivi, kuna...
Heshima mbele wadau, naomba msaada wa kupata ramani za nyumba za kisasa zenye vymba vitatu au website ninayoweza kupata ramani za nyumba pamoja na picha zake. natanguliza shukrani
Kardinali Pengo ameiasa jamii kuacha kudai haki kwa Njia ya MAANDAMANO,amesema kuwa baadh ya wanasiasa huwahadaa vijana kwa kuwahamasisha vijana kuandamana jambo linalohatarisha usalama:
My...
Hii sasa ni rasmi kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma Tanzania kwa mwaka 2011, kimepanda kutoka shilingi za Kitanzania 135,000/= mpaka 150,000/=. Hii ni kwa mujibu mishahara...
Published on Monday Nov 28 Dec 2011, 6:00 AM Last Update: 9 months ago by rainbow
Tags: Tourism Tanzania top destination
Tanzania has been named as one of the top 10 destinations in the world to...
Ukistaajabu ya Musa,,, wakazi wa kijiji cha Malindi nchini Kenya wamegubikwa na hofu na woga baada ya tukio la kuku jike ambaye alikuwa amezaa mara mbili na kulea vifaranga vyake ghafla akaanza...
Wakuu zimepita siku nyingi sasa hatujasikia habari mpya kutoka Arusha.
Mimi binafsi nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara Lema amekuwa akisumbuliwa na jeshi la polisi kwa lengo la kunyamazisha...
Ninyi mko pande ipi?!!
TAFAKARI CHUKUA HATUA > > > > > ---
TYPES OF HUSBANDS > >
MR MONKEY : >
Mr Monkey is only married on paper but in reality he is still a
> bachelor. He married...
Nasikilza redio moja jamani
kuna waziri wa serikali ya iliokuwa ya zambia amekutwa ameweka mapipa mawili chini na kusakafia na tiles
kumbe chini kaweka doller zenye thamani ya shi million 800...
nipo hapa manyara mjini ni metokea tarangire nilitakiwa niingie manyara national park mchana huu then nika overnight karatu niendelee na safari nimekwama hapa nje ya manyara national park daraja...
Wana JF,
Yanayoendelea kujuzwa humu jamvini kuhusu mustakabari wa nchi yetu Kisiasa na Kiuchumi, yanachosha na kutia kinyaa. Nina hoja moja tu. Hivi hakuna vijana huko jeshini wachukue hii nchi...