Msaada wa ramani za nyumba au website | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa ramani za nyumba au website

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gudboy, Sep 8, 2011.

 1. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Heshima mbele wadau, naomba msaada wa kupata ramani za nyumba za kisasa zenye vymba vitatu au website ninayoweza kupata ramani za nyumba pamoja na picha zake. natanguliza shukrani
   
 2. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mtafute mtu anaitwa architect na kuwa na orodha ya vitu unavyopenda viwe katika hyo nyumba,size ya kiwanja,ukipewa ramani hapo utakuwa unacopy 2 ya m2 we mtafute architect akuchoree unayotaka na isiyofanana,
   
 3. Liganga

  Liganga Senior Member

  #3
  Sep 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 165
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  send me a private mail
   
 4. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Am an architect i can help you....just name ur requirements
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,855
  Likes Received: 2,005
  Trophy Points: 280
  majadiliano hapa huwa yanaishiaga hewani tu, hata msaada uliokusudiwa haupatikani tena
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Kuna member humu anaitwa Architect E. M.,
  Jaribu kumtafuta humu.
  Kuna kitu alinitolea maeneo ya Kibada,
  Kimetulia si mchezo!!!
   
 7. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ukubwa wa kiwanja kwanza. Kwa upana na urefu. Idadi ya vyumba, na mambo mengine unayohitaji yawepo mfano bafu. Stoo, jiko nk. Kama uko dom ukienda CDA unapata. Kama hauko Dom tuwasiliane zaidi kama kweli una dhamira ntakuchorea ramani unayo hitaji ikiwa na kila kitu.
   
 8. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  thanxx sana ndugu yangu shark,,,, waambie watanzania watumie proffesionals, kuliko kudownload tu ramani kwenye net,,,, mtu unajenga nyumba ya a life time investment, lakini kutoa vipesa kidogo sana kwa ajili ya kuchorewa ramani, anaona ubahili sana,,, wake up tanzanians, wapeni professionals kazi ya kuwachorea, achaneni na ramani za kwenye internet zisizo na details na ambazo hazifit kwenye context
   
 9. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Usiwe na wasi, just pm me and i will give you the website.
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Jamani kazi ya kuchora ramani ni taaluma tena ya kusoma kwa 5yrs. Kuchukua ramani kwenye net ni sawa na wizi na kudhoofisha taaluma za wengine. Nakushauri ufungue website ya AQRB ambayo ni bodi ya Architect na Quantity Surveyors uangalie Architect aliye karibu nae halafu umpe hiyo kazi!
   
 11. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana na wewe lakini internate can be a starting point kwa client kujua requirements za nyumba ya kisasa na kupata ideas nyingi at little cost. Akifanya reseach ya kutosha hapo sasa akija kwako naye anakuwa na vitu vya msingi ambavyo havihitaji degree kuvifahamu. Nafikiri atumie seach engine kupata hizo ideas, then apate mawazo toka kwa wataalam kadhaa halafu anachagua mtaalam mmoja afanye hiyo kazi. Kuna nyumba nyingi zimechorwa kwa makosa makubwa sana kwa sababu client hawakujua mahitaji yao halisi au walizidisha mahitaji na kujikuta wana majumba kama magest house.
   
Loading...