Kuna mtu amekutwa amekufa hapa bonjour Morocco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mtu amekutwa amekufa hapa bonjour Morocco

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Nov 29, 2011.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Habari,

  Nimepita na gari nikielekea mbezi nimeona umati wa watu na Landcruiser ya blue ya polisi,kwa information ni kwamba kuna mtu amefariki pale amekutwa kwenye majani

  Nawasilisha
   
 2. u

  utantambua JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni vyema kama atatambulika ili apate mazishi yanayostahili toka kwa nduguze
   
 3. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Ina lilhai wa ina lilhai lajuun.
   
 4. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mbezi ipi kiongozi si unajua kuna Mbezi zaidi ya moja, uliuliza uliza kidogo kujua nini kimeendelea hasa?
   
 5. K

  Kiminyio Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaaa lilaahi wa inaa illaahi lrahjiun
   
 6. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Kaka unakuwa kama sio Sokwe Mjanja??? Maiti imeokotwa Bonjour Morocco (Junction ya Ally Hassan Mwinyi Rd.na Kawawa Rd. Jirani na jengo la airtel... upo???
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Maisha ni magumu sana kwa watu wa chini nchi hii, huyu mmoja kafa barabarani na wengi watafuata; wakati huo huo wabunge wanajiongezea posho na kima cha chini hakiongezeki!! Hivi huyu Kikwete hayaoni haya yanavyowasibu wananchi?
   
 8. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nipo Kaka ila hayo maelezo yote hayakutolewa mwanzo, ni hivi sasa ndio umeyatoa. Asante kwa taarifa maana wengine tuko vijijini huku tunadumisha dhana ya kilimo kwanza na familia ziko mojawapo ya Mbezi kaka
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mdau Mwenza! Nata na bit basi! Au twende na movie! Hint hapa "death annoucement" unatuchanganyia na issue za kina Vikwete na siasa! floow na mtiririko unaturusha stim!
   
Loading...