Waziri wa Tanzania akikamatwa na pesa chini ya ardhi anashtakiwa mashtaaka gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa Tanzania akikamatwa na pesa chini ya ardhi anashtakiwa mashtaaka gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 28, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,187
  Likes Received: 5,597
  Trophy Points: 280
  Nasikilza redio moja jamani
  kuna waziri wa serikali ya iliokuwa ya zambia amekutwa ameweka mapipa mawili chini na kusakafia na tiles
  kumbe chini kaweka doller zenye thamani ya shi million 800

  sasa basi waziri huyu leo wametangaza kumshtaki na moja ya kesi yake ni kwa kuhifadhi fedha chini ya ardhi yaani kuzika fedha na mengine ya ufisdai je
  mawaziri wetu wanawekaga wapi pesa zao ???

  Embu tukafate yala maeka yakina sumaye jamani yakina mkapa na wengineo walaikamata shehena kadhaa za vitalu huku wananchi husika wakiteseka

  wana sheria huyu anafunguliwa mashtaka gani!!maana naona hata kuumuita fisadi ni dhambi na kajisenti chake
   
 2. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hivi ulisahau kuwa umeingia JF?
  Kawaulize kule kwenu face book, I guess utapata majibu lukuki!
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  duuu watu bwana unamjibu hivyo hata pdidy mzee wa JF duuuu!:A S embarassed:
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  tena aliweka na alarm huko ardhin kwenye mipipa ya hela..hahaaaa Tanzania nakupenda kwa moyo wote
   
 5. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Bado, muongeze jingine!!!
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Watamsifia jasiri ambaye hajapeleka hela kwenye mabenk ya nje
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,187
  Likes Received: 5,597
  Trophy Points: 280
  Mpwa wakina cameroon utawatambua kwa matendo usiwajibu hao
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,187
  Likes Received: 5,597
  Trophy Points: 280
Loading...