Ajali mto kizinga...!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
kuna jali imetokea kwenye daraja la mto kizinga barabara ya kwenda mbagala na kilwa. Ni kati ya isuzu journey(daladala) na pickup toyota. pickup ilikua inaingia barabara kubwa ndo ikagongwa na kusukumwa hadi kwenye kingo za daraja.hali hii imesababisha foleni kwa magari yaendayo mbagala. sijajua watu wangapi wameumia. Mia
 
kuna jali imetokea kwenye daraja la mto kizinga barabara ya kwenda mbagala na kilwa. Ni kati ya isuzu journey(daladala) na pickup toyota. Pickup ilikua inaingia barabara kubwa ndo ikagongwa na kusukumwa hadi kwenye kingo za daraja.hali hii imesababisha foleni kwa magari yaendayo mbagala. Sijajua watu wangapi wameumia. Mia

ama kweli jf-home of great thinkers!!!huo ndo msaada wako mkubwa!!!!hujui kuwa miongoni mwa majerui yupo kipenzi chako koku?nenda kasaidie acha umbeya!!!
 
ama kweli jf-home of great thinkers!!!huo ndo msaada wako mkubwa!!!!hujui kuwa miongoni mwa majerui yupo kipenzi chako koku?nenda kasaidie acha umbeya!!!

Sio bure kichwa chako kinahitaji matibabu ya haraka sana kabla hali haijazidi kuwa mbaya
 
ama kweli jf-home of great thinkers!!!huo ndo msaada wako mkubwa!!!!hujui kuwa miongoni mwa majerui yupo kipenzi chako koku?nenda kasaidie acha umbeya!!!
hizi akili nyingine hizi...........changanya na mafuta ya taa!!!
 
ama kweli jf-home of great thinkers!!!huo ndo msaada wako mkubwa!!!!hujui kuwa miongoni mwa majerui yupo kipenzi chako koku?nenda kasaidie acha umbeya!!!
Kwani kuna kosa lolote alilofanya kutoa taarifa?? wewe vipi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom