Travelling document. . .

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,778
59,133
Hey guys. . .
Kwa wale ambao mnajua naomba mniambie temporary travelling document zetu hua zinaonyesha nini na nini(tar ya kuzaliwa,jina. . . . )?
 
Hey guys. . .
Kwa wale ambao mnajua naomba mniambie temporary travelling document zetu hua zinaonyesha nini na nini(tar ya kuzaliwa,jina. . . . )?

Check with your nearest TZ embassy for accurate and reliable information.
 
Hey guys. . .
Kwa wale ambao mnajua naomba mniambie temporary travelling document zetu hua zinaonyesha nini na nini(tar ya kuzaliwa,jina. . . . )?

namba ya hizo temp docs zilitolewa lini zinaexpire lini, mahali zilipotolewa
 
Du, nimechelewa nilitaka nikufanyie scan ili niiupload hapa kumbe shida yako ilikuwa ni kwa jana tu!
 
Ina Vipengele vifuatavyo; 1. Jina kamili 2. anwani 3. kazi 4.mahali pa kuzaliwa na tarehe ya kuzaliwa 5. urefu,rangi ya macho na nywele pia na alama zisizo za kawaida 6. nchi inapoweza kutumika na validity (ni mwaka mmoja kwa non emergence cases, na one way au go n return for emergence cases) 7. Uraia Hope imekufikia kwa wakati
 
Yeahhh. .
Asante sana.
 
Yeahhh. .
Asante sana.

Wewe piga simu ubalozini. Hapa unaweza kuambiwa hata yasiyo. Au ingia kwenye tovuti za balozi za Tanzania ujisomee na kujionea mwenyewe. Najua ubalozi wa Tanzania Marekani una hizo taarifa. Tumia google kupata tovuti yake.
 
Inaitwa TEMPORARY MOVEMENT PERMIT
This is to certify that the bearer whose particulars are given below,is a bonafide citizen/resident of the United Republic of Tanzania.This office has no objection for him/her to enter the ******for the purpose of*****
PARTICULARS OF THE HOLDER
1.NAME.................................................................................
2.PRESENT NATIONALITY.......................................................
3.DATE AND PLACE OF BIRTH.................................................
4.ADDRESS...........................................................................
5.OCCUPATION.....................................................................
6.DESTINATION.......................................................................
7,VALIDITY...............................................................................

Huu ni mfano wa ambayo mie huwa naipata boarder nikiwa nimesahau passport hapo juu kwenye star inategemea unaingia nchi gani
nadhani itasaidia kupata dondoo kidogo
 
Ina Vipengele vifuatavyo; 1. Jina kamili 2. anwani 3. kazi 4.mahali pa kuzaliwa na tarehe ya kuzaliwa 5. urefu,rangi ya macho na nywele pia na alama zisizo za kawaida 6. nchi inapoweza kutumika na validity (ni mwaka mmoja kwa non emergence cases, na one way au go n return for emergence cases) 7. Uraia Hope imekufikia kwa wakati
aliuliza jana... umechelewa mkuu
 
Back
Top Bottom