Mafuriko yafunga njia Manyara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuriko yafunga njia Manyara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by maimbi, Nov 28, 2011.

 1. m

  maimbi Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  nipo hapa manyara mjini ni metokea tarangire nilitakiwa niingie manyara national park mchana huu then nika overnight karatu niendelee na safari nimekwama hapa nje ya manyara national park daraja limechukuliwa na mafuriko njia imejaa mawe makubwa hasa nimekwa zaid ya masaa matatu na wageni !naona wanajesh wanafanya kaz ya kuyaondoa mawe hapo na katapila likisawazisha njia! hali ni mbaya mpaka sasa wameshakufa watu wawili.
   
 2. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Oowe! Mungu azilaze roho za marehemu pahala pema!!
   
 3. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  RUDI NYUMBANI...Waambie na hao weupe wasipime kina cha maji kwa mguu...!!:hatari:
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  dah.....hii ni balaa sasa......pole sana.....
   
 5. m

  maimbi Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  asante ndugu tulifanikiwa kuvuka mida ya saa kumi na nusu jion.
   
Loading...