A fast tracking Hoja

We Know Next

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
814
380
Wana JF,

Yanayoendelea kujuzwa humu jamvini kuhusu mustakabari wa nchi yetu Kisiasa na Kiuchumi, yanachosha na kutia kinyaa. Nina hoja moja tu. Hivi hakuna vijana huko jeshini wachukue hii nchi na kutandika watu viboko tuwe na nidhamu? Nina ona tunazidi kupoteza muda wa maendeleo. Hembu nyie mliopo jeshini mnijibuni.

Notoa hoja!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom